LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,222
wengi humu naona mmeegemea upande 1 lawama zotee mwamtupia mwanamke but katika huu Uzi kuna mengi sana yakuyaangalia .
hapa jamaa kaeleza tu kwa upande 1 ujue some times wanawake huwa wanakuwa sahii kabisa unaweza ukaona ndani ya hiyo 5yrs mwanamke kafaidi raha ya ndoa kwa mwaka 1 tu baada ya hapo nimateso ya moyo na masaliti kibao kutoka kwa mumeo lkn kwakuwa huyu jamaa hajayabainisha hayo basi mwanamke ndio anaonekana mkosaji sana kuna wanawake huwa wanatupenda wanaume kwa moyo wao wote lakini huishia kupata shukrani ya maumivu na fedheha ndani ya mioyo yao.nakufanya kuchange direction na hatimaye nao huamua kutafuta sehem ya kutulizwa maumivu na majeraha yao.
mwishowe mambo kama haya yakusalitiana ndio huwa matokeo yake