Mdogo wangu kanisaliti

Mdogo wangu kanisaliti

Pole sana ...
Jiulize kama mna watoto wstaishije mkiachana...

Kama umewahi kumsaliti kwa njia moja au nyingine samehe mara saba Mara Sabin
Mkeo haifai inahitaj moyo wa ziada kulala na mwanaume ndani na kitanda mnacholala sio

Nan kasema watt hawawezi kuish bila mama?
 
Nan kasema watt hawawezi kuish bila mama?

Watoto wanaweza kuishi popote bila ya baba/mama na yeyote ndo mana kuna vituo vya watoto yatima ....
Ila ni vzur watoto wakapata malezi ya wazazi wote kama uwezekano huo upo
 
Daah aisee mkuu una Moyo mgumu sana kwakweli yaan hata hilo la kuomba ushauri aisee? Yaani mdogo wng kanisaidia na ujauzito juu afu nikae na mke? Aisee nisije ni kakutukana bure bora niishie hapa maana jazba niliyokuuliza nayo km Mke wng vile.

Lakutukanwa tu ----- hilo,unatiliwa mpaka mimba alafu unaomba ushauri??for what? Nilitegemea labda utuambie. Yupo icu ama mortuary ndio utuombe ushauri kumbe uponalo hilo jini ndani? Sikunyengine halita kusaliti litakuwekea sumu ufe ili lilith ulichonacho namdogowako pia tumia akili mwanamme Wewe,narudia tena fukuzaaaaa au vunja japo mguu lipate kilema liwe na kumbukumbu milele Duh kaka unamoyo naumia kama ni mimi vile dah!
 
!
!
piga moyo konde.....usimfukuze ila wewe ndio usepe hapo home na ikiwezekana dogo naye mrudishe akae na wife walee mimba yao....kuhusu wanao anza kufikiria dna
 
Sitamwacha mke wangu ila kwa dhambi ya uzinzi tu... Haina sababu ya kukua shetan kama hilo ndani ya nyumba. Huu ni wakat wa kusafisha takataka kama mmefukuza mdogo wako ambaye ni damu yenu kwann mnabaki pepo lingne ndani ya nyumba?? Leo umemfumania na mdogo wako lakn kesho utamfumania na rafki yako.. Fukuza pepo hilo ndan ya nyumba
Fukuza uyo malaya


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Watoto wanaweza kuishi popote bila ya baba/mama na yeyote ndo mana kuna vituo vya watoto yatima ....
Ila ni vzur watoto wakapata malezi ya wazazi wote kama uwezekano huo upo

As long as baba yupo tatizo litoke wapi?
 
aise una moyo sana, huyo si mke achana nae tu, mwishoe atakuja kukumaliza kabisa tukuimbie parapanda ili akae kwa amani kwa sasa hana amani..

hapo keshakugombanisha na ndugu yako hadi ukamfukuza sasa yeye unamngangania wa nini? ikiwa ndugu yako tu mliyezaliwa pamoja umefukuzilia mbali sasa itakuwa huyo mliyekutana ukubwani? wote hao wanamakosa sawa sawa kwa ivo na yeye muitie kikao na wazazi wake uwaeleze kilichotokea na kisha wape mtt wao..akitaka akaolewe na huyo kenge mwenzie sasa manake watakuwa huru........
ila watt pima DNA upate uhakika manake unaweza kukuta wote si wako
 
Biblia inaruhusu kumpa mkeo talaka kwa dhambi ya uasherati. JUST DO IT.
 
ilishawahi kumtokea dadangu ilikuwa aibu sana...na sasa walikuwa ndio wanakaribia kufunga ndoa na posa ilishatolewa yani mzee aliona aibu sana pale binti yake alipofumaniwa na mdogo mtu...aliachwa na wote......ilikuwa aibu sana kwa sbb na hao waoaji tulikuwa ni majirani na tuliishi kama ndugu lkn kitendo alichofanya dadangu na shemeji yake kiliabisha sana....alikuja kuolewa tena akiwa na miaka 40
 
wa nini huyo mala.ya piga mijeledi afu akafie mbele mademu wa sikuhizi wanawaza kuliwa tu afu angalia na type ya kuoa,toa hiyo maradhi tupa mtoni
 
Kuendelea kuishi naye utaishi maisha ya wasi wasi sana maana hata siku nyingine ukimkuta anaongea tu na mwanaume hata kama si wapenzi akili yako itamfikiria vibaya. Ya nini uishi kwa presha maisha yenyewe mafupi haya? Tupa kule huyo hakufai
 
MKUU pole sana maamuzi na kikao na ndugu mlishakifanya kule ndio ilikuwa sehem yako ya kupata suruhu yoote ya maumivu yako ya moyo.
why wakati maamuzi ya kumfukuza mdogowako yanatolewa huku judge why afukuzwe MDOGO wako na mkeo abaki??
waliotoa maamuzi hayo walikuwa na maana yao ww na mkeo uhusiano wenu au kusalitiana ni suala la kawaida bila shaka wazazi wanajua sio mkeo tuu hata ww pia ushatoka sana nje ya ndoa usaliti ushaufanya sana .
lakini lamsingi hapo malezi ya watoto ndio kitu cha msingi na chapekee kuachana kwenu kutaathiri sana malezi ya watoto wenu.

MKUU piga moyo konde ludisha moyo. wako wote kwamkeo msimamo wako na maamuzi yako ndio dawa na Tiba kubwa kwa mkeo.
huko unakotaka au fikiria kuelekea nako hakuna usalama wowote ni bora hata huku uliko toka tayari unafaraja ya moyo wako hao watoto ndio nduguzako na faraja yako zaidi kwa huyo mwanamke zaidi yake.

kiukweli MKUBWA mapenzi sasa hivi kusalitiana ni kama fashion hivi si kwamwanaume au mwanamke.ww umefanikiwa kufumania lakini naamini hata wewe nimsaliti mzuri tuu kwamkeo.

samehe saba Mara sabini.
kama unataka kutoa hukum jitazame moyoni mwako kama tokeo umemuoa haujawahi toka NJE ya ndoa yako nadani ya hiyo 5 yrs .ludi katika. afundisho ya imani yako utapata jibu sahihi.
 
Mi mkristo ni miaka 5 tangu nifunge ndoa na mke wangu. Ni Mwezi 1 tangu huu mkasa kunipata.
Nilisafiri kibiashara na niliaga kuwa sitarudi kwa siku tatu mbele (nikawaida yangu ninapokuwa na safari za kibiashara), kwa siku hiyo moyo ulikataa kabisa kuendelea na safari niliamua kurudi nyumbani na nikapitia na zawadi za wanangu, mishare ya saa 3 usiku nilifika nyumbani nikasikia vicheko vya mwanaume ndani, sikujua ni nan niliendelea kusogea mpaka dirishani kuchungulia nikaona mke wangu na mwanaume wakiwa uchi wa mnyama (hawakuzima taa) wakifanya sex, niliwahi mlangon na kufunga mlango kwa nje na nikaanza kupigia cm rafiki na jamaa ili kunipa msaada (wakati huo sijui kama ni mdogo wangu). kufungua mlango daaa! mdogo wangu....! Iliniuma sana hata wazazi wetu na ndugu pia. Mdogo wangu alifukuzwa nyumbani baada ya kikao cha ukoo. Shida inayosumbua moyo wangu kwa sasa ni ujauzito aliopewa mke wangu na mdogo wangu. maana tuna miezi 3 hivi tena yeye mwenyewe alishinikiza kutumia mipira ili kupanga uzazi lakini kwa sasa anaujauzito na yeye kakiri mbele ya wazazi kuwa ujauzito ni wa mdogo wangu. Wazazi mamenishauri kubaki na mke wangu lkn nafisi yangu kwa sasa hata kule kumsogelea tu haitaki any way ni mengi lakini kwa haya machache yananifikirisha sana na nakosa jibu yaani nimuache mke wangu(nimefunga ndoa ya kikristo) au nitoe mimba(dhambi)
sijielewi kwa kwer naomben msaada wanajamvi.

kaka pole sana,huyo mke fukuza kabisa,hivi utaishi nae vipi kwa mfano miaka 10 ijayo wakati umuamini?sio mke huyo fukuza kabisa,akae kwake kama hana kipato unaweza ukaendelea kumsaidia,ila awe mbali na upeo wa macho yako,
Time heals wounds brother,and where eyes can not see,heart can not feel,
Fukuza kwanza upate turizo la moyo,
 
Niliwahi kuhudhuria kikao kina kisa kama chako, kwenye kikao mwanamke aliyekuwa akitembea na mdogo wake mumewe akauliza, "Ipi bora, kutembea na mdogo wake mume wangu au kutembea na watu wa nje? kwani mume wangu haniridhishi". Hapo sasa!

Kuna uwezekano hata hao wanao wa kwanza si wako.

Ushauri:

Amma kubali matokeo usamehe yaishe, lakini kama unajijuwa kuwa pumzi zako ni ndogo uukubali ukweli kuwa ataliwa tu, sasa ukubali amma aliwe na mdogo wako amma akaliwe nje!

Au muwache aende na njia zake, maana humuwezi huyo.

Kama dini yako haikuruhusu kutoa talaka, ingia kwenye Uislaam, umuwache kihalali. uendelee na maisha ya Kiislaam, utakuwa umeuwa ndege wawili kwa jiwe moja, kwanza utakuwa umeongoka kwa kutoka kwenye kiza cha kuabudu binaadam mwenzako na kurudi kwa kujisalimisha (Islam) kwa aliyekuumba na pili utakuwa umetatua tatizo la talaka kwa mkeo.
 
Sitamwacha mke wangu ila kwa dhambi ya uzinzi tu... Haina sababu ya kukua shetan kama hilo ndani ya nyumba. Huu ni wakat wa kusafisha takataka kama mmefukuza mdogo wako ambaye ni damu yenu kwann mnabaki pepo lingne ndani ya nyumba?? Leo umemfumania na mdogo wako lakn kesho utamfumania na rafki yako.. Fukuza pepo hilo ndan ya nyumba

Huu ni ushauri mzurii sanaaa sina haja ya kutoa yanguuu
 
Kuna baadhi ya mambo yasikie tu kwa mwingine! pole sana mkuu Ila ushauri wangu anza upya huyo sio
Mke ni jini kimbia ikibidi kawapime DNA na hao wanao
 
Amna haja ya kufikiri hapo ni kupiga chini tu, alimradi kashaanza na mdogo wako atafuata rafiki yako sasa. Usipomuhukumu kwa hilo, utamwajibisha katika angle gani tena utakuwa ni mtumwa tu ndani ya mji wako mwenyewe.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Niliwahi kuhudhuria kikao kina kisa kama chako, kwenye kikao mwanamke aliyekuwa akitembea na mdogo wake mumewe akauliza, "Ipi bora, kutembea na mdogo wake mume wangu au kutembea na watu wa nje? kwani mume wangu haniridhishi".

Hakuna cha kutoridhishwaaa ni umalayaa tuu
 
Pole sana ila kiukweli mmmmh hapana!
lakini anyway kwakuwa dogo ndo kala mzigo si mbaya ni damu moja hiyo. Ila sasa kufuta memory za hilo tukio ndo hatareee lazima utadestort hata ufanisi wa kazi zako kiutaftaji!
Ila huyo mkeo....?! Aggggrr kwann akufanyie hivyo lakn why? why? why?
 
Back
Top Bottom