Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Mkuu Lee2 mimi naona hutakuwa na aman moyon vilevile hutakuwa na iman naye tena...... Hebu fikiria leo hii upo safarin kibiashara ukaamua kumpigia sim lakn kwa bahat mbaya haijapokelewa labda alikuwa mbali nayo hapo mawazo yako yatarudi kule kule kuwa yupo kungonoka. Ktk ndoa lazma kuwe na aman na iman pamoja na upendo lakin kama huna hivyo ndg yangu haina haja kuwa kwenye ndoa kwasababu hapo sku za kuishi znapungua na magonjwa ya moyo na vidonda vya tumbo vinakusogelea lakn kwann ifikie huko?? Uamuz ni wako mm nmekuambia hayo ambayo ningeyafanya
Last edited by a moderator: