Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

GOLD BOY

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
280
294
Habari za muda huu viongozi, nimatumaini yangu kuwa mko fit. Bila kuchelwa najua humu kuna wakuu wa shule mbalimbali, wafanyakazi na n. k, mdogo wangu amekomea form six kielimu kutokana na changamoto ya kukosa mkopo hakwenda chuo hivyo anawaomba wanajf msaada apate angalau kibarua cha kufundisha masomo ya sayansi haswa physics na math, anapatikana mwanza maeneo ya igoma.
 
Shule ya Awali na Msingi WHITE ANGELS inatangaza nafasi ya Walimu mahiri na wazoefu wa kufundisha masomo ya hisabati na sayansi Kwa madarasa ya mitihani wanahitajika haraka. Shule ipo vikindu(Soweto)- mkuranga. Kwa mawasiliano piga simu 0766453407, 0744234444 na 0782211680.
 
Hbr kazi ipo ila ya kufundisha kwenye chuo cha veta moshi Nitafute nikupe maelekezo 0696864817
 
Habari za muda huu viongozi, nimatumaini yangu kuwa mko fit. Bila kuchelwa najua humu kuna wakuu wa shule mbalimbali, wafanyakazi na n. k, mdogo wangu amekomea form six kielimu kutokana na changamoto ya kukosa mkopo hakwenda chuo hivyo anawaomba wanajf msaada apate angalau kibarua cha kufundisha masomo ya sayansi haswa physics na math, anapatikana mwanza maeneo ya igoma.
Yeye sio mwalimu mkuu
 
Shule ya Awali na Msingi WHITE ANGELS inatangaza nafasi ya Walimu mahiri na wazoefu wa kufundisha masomo ya hisabati na sayansi Kwa madarasa ya mitihani wanahitajika haraka. Shule ipo vikindu(Soweto)- mkuranga. Kwa mawasiliano piga simu 0766453407, 0744234444 na 0782211680.
Nina experience ya 7years plus,njoo pm unidokezee viwango vya mshahara kwanza
 
Shule ya Awali na Msingi WHITE ANGELS inatangaza nafasi ya Walimu mahiri na wazoefu wa kufundisha masomo ya hisabati na sayansi Kwa madarasa ya mitihani wanahitajika haraka. Shule ipo vikindu(Soweto)- mkuranga. Kwa mawasiliano piga simu 0766453407, 0744234444 na 0782211680.
Shukrani mkuu
 
Habari za muda huu viongozi, nimatumaini yangu kuwa mko fit. Bila kuchelwa najua humu kuna wakuu wa shule mbalimbali, wafanyakazi na n. k, mdogo wangu amekomea form six kielimu kutokana na changamoto ya kukosa mkopo hakwenda chuo hivyo anawaomba wanajf msaada apate angalau kibarua cha kufundisha masomo ya sayansi haswa physics na math, anapatikana mwanza maeneo ya igoma.
Sasa huyo sio mwalimu/hana taaluma ya ualimu maana elimu yake ni ya kidato cha sita.

Jifunzeni kuheshimu taaluma za watu.

Kama ana nia ya kuwa mwalimu subiria aende chuo kikuu asome kozi ya ualimu kwa miaka mitatu kisha aje hapa aombe connection ya kazi.
 
Nahidi wewe ni mwalimu na hajaajiriwa , kufundisha ni kipaji haijalishi ni profesional au laa,. Kipindi nasoma advance kuna jamaa alikuwa anadomea udaktari ulikuwa unatupigisha mapindi na alikuwa analipwa fresh tu kwaio usikalili kwamba hadi uwe na profesional ndo ufundishe
 
Inabidi chamade cha walimu kuangalia namna ya kushughurikia watu kama hawa, maana ujinga umezidi unaingilia trauma za watu unaambiwa uwelewi.

Mwalimu kitaaluma tu ndio inatakiwa afundishe shuleni.
 
we ni ticha sio, akili kichwani unaweza kusoma na usiwe na akili sawasawa. Nenda shule private uome kama utakuta wote ni profesional kuku wa mayai wewe
 
Sasa huyo sio mwalimu/hana taaluma ya ualimu maana elimu yake ni ya kidato cha sita.

Jifunzeni kuheshimu taaluma za watu.

Kama ana nia ya kuwa mwalimu subiria aende chuo kikuu asome kozi ya ualimu kwa miaka mitatu kisha aje hapa aombe connection ya kazi.
Nimesoma sekondari Olevel na Advance, kote kipindi cha likizo, jamaa wasio waalim walikua wakitufundisha mapindi tuition na walinisaidia kupata div 1.7 O level na 1.5 PCM advance. Shuleni walimu wengi walikua chai na shallow. Hivyo, usikariri maisha mkuu. Currently mimi ni lecturer katika chuo kikuu kimojawapo na huku wahadhiri huchukuliwa moja kwa moja toka bachelor ya taaluma husika e.g uhasibu, engineering nk na wanapelekwa kufundisha. Bado hufundisha vema kuliko hao waalimu wenye proffessional hiyo.
 
Mliofundishwa na wasio walimu mkaelewa, nyie ndo vipanga (golden students) na sio hao waliowafundisha Kwa kuwa walitaka muwalipe Hela.

Wanafunzi wengi ni silver na iron wanahitaji kufundishwa hasa

Wahitimu wa vyuo binafsi kama sauti wanaGPA kubwa kuliko udsm Kwa sababu wanafundishwa vzr na wakufunzi waliofaulu Kwa wastani.

Udsm inabakiza vipanga, wanalewa masifa Wala hawafundishi....... Wanafunzi wanakomaa na matango pori hatimaye kuskoo pass na sap
 
Nahidi wewe ni mwalimu na hajaajiriwa , kufundisha ni kipaji haijalishi ni profesional au laa,. Kipindi nasoma advance kuna jamaa alikuwa anadomea udaktari ulikuwa unatupigisha mapindi na alikuwa analipwa fresh tu kwaio usikalili kwamba hadi uwe na profesional ndo ufundishe
Sasa hayo ni makosa .

Na wanaofanya hivyo ni hizi private za bei rahisi ili kupunguza gharama za kuajiri walimu waliosomea.
 
Back
Top Bottom