GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 289
- 306
- Thread starter
- #41
Nyie ndo wachawi wa maendeleo, nani alikwambia kufundisha hadi uwe na cheti cha makaratasi tu? Kuna walimu wazuri kuliko ww mwenye cheti vhenye pass ya kubahatisha udsm tena umekipt kwa sup nyingi tu, naomba uelewe kufundisha ni kipawa na sio vyeti visivyo na msingiNikijiunga na hiki chamade cha uwalimu upuuzi wa kwanza kushughurika nao ni huu shule inaajiri asiye mwalimu inabidi huyo mtu afungwe.
Kuwe na heshima na taaluma za watu then kwa matokeo yoyote ya kitaaluma lawama kwa walimu
Kuwa na taalumu sio tija je unachokifundisha kipo na kama kipo kwanini serikali iwakataze wakati ni vijana wamejiajiri kupitia elimu zao.
Wewe kusoma kadegree kako ka ualimu ndo unajiona uko matawi sana mfyuuuuu watu tupo vizuri nhatusumi huo ualimu wako ila tunafundisha wadogo zetu tulichopatiwa darasan tena sio na mwalimu mwenye profesional mheshimu kila mtu broh