Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

Mdogo wangu anatafuta shule ya kufundisha physics na math o level

Anakipaji cha kufundisha na nimuzoefu pia
Ualimu ni taaluma kama taaluma zingine.

Nyinyi ndio mnazalisha watoto vilaza kwa kulazimisha wasio na vigezo wapewe nafasi na wao wafundishe.

Sasa huyo dogo wa kidato cha sita anajua nini huyo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] we ni ticha sio, akili kichwani unaweza kusoma na usiwe na akili sawasawa. Nenda shule private uome kama utakuta wote ni profesional kuku wa mayai wewe[emoji1][emoji1]
Haya komaeni na umasikini wenu.

Okoteni okoteni pesa mwakani mumpeleke huyo kijana wenu chuo.
 
Nimesoma sekondari Olevel na Advance, kote kipindi cha likizo, jamaa wasio waalim walikua wakitufundisha mapindi tuition na walinisaidia kupata div 1.7 O level na 1.5 PCM advance. Shuleni walimu wengi walikua chai na shallow. Hivyo, usikariri maisha mkuu. Currently mimi ni lecturer katika chuo kikuu kimojawapo na huku wahadhiri huchukuliwa moja kwa moja toka bachelor ya taaluma husika e.g uhasibu, engineering nk na wanapelekwa kufundisha. Bado hufundisha vema kuliko hao waalimu wenye proffessional hiyo.
Hakuna lecturer mpumbavu kama wewe.

Usijipe sifa ambayo huna.
 
Tatizo ni kwamba kitaaluma wewe sio mwalimu.
Huu ujinga mara nyingi wanao hizi private za bei chee.

Walikuwa wanafanya hivi kupunguza gharama ya kuajiri waliosomea ualimu.

Miaka ya hivi karibuni huu ujinga umepungua maana form six ya kipindi hiki ni takataka tofauti na miaka ya nyuma ukionekana imefika form six unaheshimika.
 
Mliofundishwa na wasio walimu mkaelewa, nyie ndo vipanga (golden students) na sio hao waliowafundisha Kwa kuwa walitaka muwalipe Hela.

Wanafunzi wengi ni silver na iron wanahitaji kufundishwa hasa

Wahitimu wa vyuo binafsi kama sauti wanaGPA kubwa kuliko udsm Kwa sababu wanafundishwa vzr na wakufunzi waliofaulu Kwa wastani.

Udsm inabakiza vipanga, wanalewa masifa Wala hawafundishi....... Wanafunzi wanakomaa na matango pori hatimaye kuskoo pass na sap
Hoja yako ni nini kati ya wahitimu wa SAUT na UDSM?
Kuwa wazi tueleweshane
 
Nimesoma sekondari Olevel na Advance, kote kipindi cha likizo, jamaa wasio waalim walikua wakitufundisha mapindi tuition na walinisaidia kupata div 1.7 O level na 1.5 PCM advance. Shuleni walimu wengi walikua chai na shallow. Hivyo, usikariri maisha mkuu. Currently mimi ni lecturer katika chuo kikuu kimojawapo na huku wahadhiri huchukuliwa moja kwa moja toka bachelor ya taaluma husika e.g uhasibu, engineering nk na wanapelekwa kufundisha. Bado hufundisha vema kuliko hao waalimu wenye proffessional hiyo.
PCM gani hujuwi hata kupangilia maelezo yako mwenyewe.
Au matokeo yako uli differentiate constant mkuu. (Natania tu mkuu)
 
Ualimu ni taaluma kama taaluma zingine.

Nyinyi ndio mnazalisha watoto vilaza kwa kulazimisha wasio na vigezo wapewe nafasi na wao wafundishe.

Sasa huyo dogo wa kidato cha sita anajua nini huyo?
Kama umesoma Advance utakuwa unajua hii kitu, mabro walikuwa wanapigasha mapindi tukiwa form five na hawakuwa na taalumu ya ualimu na semaje yeyote yule ni mwalimu kikubwa anaeleweka kwishaaaa
 
Sasa hayo ni makosa .

Na wanaofanya hivyo ni hizi private za bei rahisi ili kupunguza gharama za kuajiri walimu waliosomea.
Endelea kukalili ujinga wako , tena unakuta wasiokuwa na taaluma ya huo waalimu ndio walimu wazuri zaidi kuliko hao maprofesional ya kwenye makaratasi tu
 
Mliofundishwa na wasio walimu mkaelewa, nyie ndo vipanga (golden students) na sio hao waliowafundisha Kwa kuwa walitaka muwalipe Hela.

Wanafunzi wengi ni silver na iron wanahitaji kufundishwa hasa

Wahitimu wa vyuo binafsi kama sauti wanaGPA kubwa kuliko udsm Kwa sababu wanafundishwa vzr na wakufunzi waliofaulu Kwa wastani.

Udsm inabakiza vipanga, wanalewa masifa Wala hawafundishi....... Wanafunzi wanakomaa na matango pori hatimaye kuskoo pass na sap
Kweli mkuu na tumefika hadi muhas kabisa bila shida yeyote ila sasa hao wenye profesional za pass ndo wanatuna vifua na hizo pass zao[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kuna vipanga walikuwa wanatupigisha mapindi advance tena fasta unakuta umeshamaliza topic kibao advance math na physics. Kufundisha nikipawa

Sent from my SM-A025U using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu wamenisaidia sana wasimgekuwa wao sijui inhekuaje, nilichogundua wanaopinga ni wale wa diploma huko form four tu imewachemsha afu aje atufundishie watoto huo si ujinga wa mwisho kbs[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hoja yako ni nini kati ya wahitimu wa SAUT na UDSM?
Kuwa wazi tueleweshane
Saut wanafundishwa vzr, walimu wao wanasimamuwa vizuri. Wahitimu huelewa vzr na kufaulu sana.

Udsm walimu hawafundishi Kwa weledi, wamejaa misifa. Wanafunzi wao hawaelewi na kuambukua pass.
 
Saut wanafundishwa vzr, walimu wao wanasimamuwa vizuri. Wahitimu huelewa vzr na kufaulu sana.

Udsm walimu hawafundishi Kwa weledi, wamejaa misifa. Wanafunzi wao hawaelewi na kuambukua pass.
Naona umesoma vyuo vyote viwili na vitivo vyote umepita kwa kila chuo mpaka unasema hivyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Saut wanafundishwa vzr, walimu wao wanasimamuwa vizuri. Wahitimu huelewa vzr na kufaulu sana.

Udsm walimu hawafundishi Kwa weledi, wamejaa misifa. Wanafunzi wao hawaelewi na kuambukua pass.
Kwani wewe umesoma program zenye kufanana vyuo vyote SAUT na UDSM? Kama sivyo umewezaje kulinganisha? Nasubiri jibu lako tuendelee
 
Currently mimi ni lecturer katika chuo kikuu kimojawapo na huku wahadhiri huchukuliwa moja kwa moja toka bachelor ya taaluma husika e.g uhasibu, engineering nk na wanapelekwa kufundisha.
Hicho sasa ni kichekesho kikubwa.
Yani Lecturer anachukuliwa mwenye just digirii????

Unavijua vigezo vya TCU
 
Nikijiunga na hiki chamade cha uwalimu upuuzi wa kwanza kushughurika nao ni huu shule inaajiri asiye mwalimu inabidi huyo mtu afungwe.

Kuwe na heshima na taaluma za watu then kwa matokeo yoyote ya kitaaluma lawama kwa walimu
 
Back
Top Bottom