Mdogo wake mume wangu amenitongoza

Mdogo wake mume wangu amenitongoza

Kutokujua cha kufanya mpaka hapo teyar na wewe umemzimikia dogo.Mke wa mtu utakosaje cha kufanya kwa hilo?
 
Hivi mwanamke Anae jielewa na kujiheshimu anaweza sema yuko njia panda???
Mpe tu mzigo huo ale
 
Yaani wewe mwanamke wa ajabu sana, tena usikute huyo dogo amesha kugonga sema unakuja tu kuona react za watu zipoje juu ya swala hilo,

Maana mazoea uliyoyajenga kwa shemeji yako nidhahiri kabisa wewe pia upo radhi kutoa vya mumeo na kumpa shemej yako.

Hivi mwanamke unakuwaje na mazoea ya hivyo na mwanaume ambaye sio mume wako???
 
ukimpa usije msingizia shetani wala pombe ,maana mnawaonea sana haukawii kusema shetani alikupitia
 
Kama mdogo wa mumeo unawaza nini kumpa? Hawezi kutangaza hata kidogo. MPE amzidi ujuzi kaka yake
 
Inasikitisha sana...

Kwa nini uwe njia panda kwa shemeji yako...

Kemea kabisa, kataa huo uchafu... Wewe ni mke wa kaka yake na siyo cha wote...



Cc: mahondaw
 
Habari za wikiendi!

Mume wangu hayupo yapata wiki ya tatu amekwenda Rwanda kibiashara hapa nipo na mdogo wake yupo chuo mwaka wa tatu Udsm.

Tumeishi Kwa kutaniana sana kila siku kama kitu na mumewe.Chakula huwa namuwekea mezani tunakula pamoja siku za wikiendi tunakwenda out bila woga.

Leo tukatoka mpaka bahari zoo maeneo ya Tanganyika nyuki tulipotoka tukaenda kwenye msonge Fulani kupata lunch na vinywaji kadhaa.

Nilipata castle nne na yeye alimeza Dompo moja cha ajabu sikutegemea kabisa akaniomba penzi bila aibu huku akisema tufanye siri kaka asijue.

Nilipatwa na kigugumizi sijamjibu mpaka hivi sasa nipo chumbani kwangu nimejifungia na alikuja kugonga mlango nikamchunia.Nipo njia panda sijui nifanyaje jamani.
Mti mwenyewe nguva jike,si utakuwa mtamu kuliwa wewe
 
Usiku wote huu bado uko njia panda!!!!!
 
Usifanye hiyo dhambi kuto...bewa mke.inauma sana halafu utawagombanisha hao ndugu
 
Back
Top Bottom