Mdogo wake mume wangu amenitongoza

Mdogo wake mume wangu amenitongoza

Habari za wikiendi!

Mume wangu hayupo yapata wiki ya tatu amekwenda Rwanda kibiashara hapa nipo na mdogo wake yupo chuo mwaka wa tatu Udsm.

Tumeishi Kwa kutaniana sana kila siku kama kitu na mumewe.Chakula huwa namuwekea mezani tunakula pamoja siku za wikiendi tunakwenda out bila woga.

Leo tukatoka mpaka bahari zoo maeneo ya Tanganyika nyuki tulipotoka tukaenda kwenye msonge Fulani kupata lunch na vinywaji kadhaa.

Nilipata castle nne na yeye alimeza Dompo moja cha ajabu sikutegemea kabisa akaniomba penzi bila aibu huku akisema tufanye siri kaka asijue.

Nilipatwa na kigugumizi sijamjibu mpaka hivi sasa nipo chumbani kwangu nimejifungia na alikuja kugonga mlango nikamchunia.Nipo njia panda sijui nifanyaje jamani.
Naomba utupe mrejesho basi..ulishampa mzigo???
 
Kama nawe una hamu ya kuliwa kabla ya mlaji mwenye dhamana hajarudi bac mpe shemejio huyo Kuliko kumpa mtu baki,
Lakini kama unaweza kuvumilia mpaka kapanda arudi bac itapendeza sana
 
Aache uzenge mbona ni siku ya 10 nampiga kitu.

Pale pia nilimpiga adijifanye kuwatesa akili.
 
Upo njia ya panda kuwa umpe penzi au umkatalie??Ndio wake zetu hawa walivyo
 
Habari za wikiendi!

Mume wangu hayupo yapata wiki ya tatu amekwenda Rwanda kibiashara hapa nipo na mdogo wake yupo chuo mwaka wa tatu Udsm.

Tumeishi Kwa kutaniana sana kila siku kama kitu na mumewe.Chakula huwa namuwekea mezani tunakula pamoja siku za wikiendi tunakwenda out bila woga.

Leo tukatoka mpaka bahari zoo maeneo ya Tanganyika nyuki tulipotoka tukaenda kwenye msonge Fulani kupata lunch na vinywaji kadhaa.

Nilipata castle nne na yeye alimeza Dompo moja cha ajabu sikutegemea kabisa akaniomba penzi bila aibu huku akisema tufanye siri kaka asijue.

Nilipatwa na kigugumizi sijamjibu mpaka hivi sasa nipo chumbani kwangu nimejifungia na alikuja kugonga mlango nikamchunia.Nipo njia panda sijui nifanyaje jamani.
mpe
 
Kuwa chizi sio mpaka uokuote makopo!Kwa akili zako ndogo unataka halalisha hilo tendo na shemeji yako kwa kuomba ushauri JF !!Nyie ndio mnaofanywa parking za Catalunya na COCO!
 
Habari za wikiendi!

Mume wangu hayupo yapata wiki ya tatu amekwenda Rwanda kibiashara hapa nipo na mdogo wake yupo chuo mwaka wa tatu Udsm.

Tumeishi Kwa kutaniana sana kila siku kama kitu na mumewe.Chakula huwa namuwekea mezani tunakula pamoja siku za wikiendi tunakwenda out bila woga.

Leo tukatoka mpaka bahari zoo maeneo ya Tanganyika nyuki tulipotoka tukaenda kwenye msonge Fulani kupata lunch na vinywaji kadhaa.

Nilipata castle nne na yeye alimeza Dompo moja cha ajabu sikutegemea kabisa akaniomba penzi bila aibu huku akisema tufanye siri kaka asijue.

Nilipatwa na kigugumizi sijamjibu mpaka hivi sasa nipo chumbani kwangu nimejifungia na alikuja kugonga mlango nikamchunia.Nipo njia panda sijui nifanyaje jamani.
Njoo pm nikushauri kitu
 
Back
Top Bottom