Ni ushenzi kuongopa, huyo mbunge hakutaja mtu japo alilalamika kuhusu matokeo ya mitihani ya kiislamu achene kuunganisha stori akina kaswida vipi mbona munajipalulaHuu mtindo wa wanasiasa kuwatumia watumishi wengine kwa maslahi yao itaharibu taifa kikubwa mdogo wake mbowe na wengine kwenye hiyo idara ya compyuta lazima wachunguzwe.
wewe unahoja gani ya kuwalaumu mods kama unafuatilia bunge usingeongea haya unayoandika usipende kukurupuka.Moderators topic za kipuuzi kama hizi mnaziacha topic za msingi mnazitoa acheni kutumika
Ni ushenzi kuongopa, huyo mbunge hakutaja mtu japo alilalamika kuhusu matokeo ya mitihani ya kiislamu achene kuunganisha stori akina kaswida vipi mbona munajipalula
Baraza la Mitihani lilithibitisha haya au tu ni kwa sababu ni mdogo wake na Kiongozi wa chama cha upinzani? Nafikiri ni vyema kauli za wabunge hasa kuhusiana na watu walioko nje ya Bunge (ambao hawawezi kujitetea) ziangaliwe sana na pale inapothibitika kuna kupakaziana hatua sitahiki zichukuliwe. Lakini kama kuna ushahidi kuwa uchunguzi ulifanyika na kuthibitisha kosa hilo bila hatua stahiki kuchukuliwa basi kutajwa bungeni ni sahihi kama njia ya kuchagizana kushinikiza taasisi husika kuchukua hatua. Tusitengeneze chuki zisizo za lazima.
Mnaanza Ubaguzi CCM kama kawaida yenu,kwani kuwa na undugu na Mbowe ni Dhambi?kwa hiyo nyie wenye ndugu CCM ndio mna haki sana?
Nipo nafuatilia bunge haya sasa umeambiwa huyo Joseph Mbowe ni jina na si mdogo wake mbowe embu tuukulize kwa nini wewe unadhani jamvi hili ni kuwakomalia chadema, unadhani waliotengeneza jamvi hili walitengeneza kwa ajili ya wewe kuja kushinda JF kukomalia watu zaidi ya kuchangia hoja za ujenzi wa taifa ambaa uko wewe masaliawewe unaangalia bunge gani kasema josefu mbowe au umetumwa kuja kupotosha fuatilia bunge ndipo ubishe,ni kwa nini baadhi ya wanasiasa wakihusika katika mijadala watu wengine wanakuwa wakali sana kulikoni.
Wewe unayenitukana umepata wapi hati miliki ya matusi kama kwenu mmezoea kutukanana baadaye ukimali kwenu mtaenda muendelee kutukanana na hao ndugu zako.Ni ushenzi kuongopa, huyo mbunge hakutaja mtu japo alilalamika kuhusu matokeo ya mitihani ya kiislamu achene kuunganisha stori akina kaswida vipi mbona munajipalula
mkuu uko sahihi lakini mbunge amenukuu matokeo ya tume iliyoundwa na waziri wa elimu mwaka jana kuchunguza matokeo yaliyohusisha matokeo ya wanafunzi wa kiislamu mbowe katajwa kwenye taarifa ya tume.
hajasema mdogo wake,usimlishe maneno...na pia, hivi huyo joseph mbowe ananguvu kuliko waziri? Ha ha ha sasa kama waziri ameshindwa kumuwajibisha bas awajibishwe yeye..
Mchovu wa mawazo na mkabila. Tangu lini Kitindamimba akawa na mdogo wake.Said Mtanda ambaye ni mbunge wa Mchinga mkoani lindi akichangia bungeni ameomba Josefu Mbowe ambaye ni mdogo wake na Fremani Mbowe anayehudumu ktk kitengo cha kompyuta pale Baraza la Mitihani afukuzwe kwa kuhujumu matokeo.