Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,384
- 3,057
Kwa kweli Mama mikumi tena. Dogo anasema Weekend kesho tutamtafute yeye kuanzia Biriani mpaka wale walevi Mkojo wa Shetani. Mimi allahamdulilah sinywi vitu kharamu ila najua kaka yake mjaa laana kesho atakunywa sana.
Naambiwa mapolisi walio mafunzo pia wamepewa nguo za kiraia na kuingiziwa unyevu kwenye mifuko yao kwa sharti la kwenda Mkutanoni. Wengi wamesombwa na magari na pikpiki ili wasisumbuke. Jinsi ambavyo CCM ina jali wananchi.
Vyama vingine vya upinzani wanatembea kwa miguu au kupanda daladala. Ila CCM WATU WANAPEWA POSHO NA USAFIRI ndo tofauti yetu na wapinzani. Wapinzani hawana pesa.