Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
kukisaidia nao wameombwa kutotajwa hadharani kwa kuhofia biashara zao kupata Nadhani sote tunataarifa kwamba kuna tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS la kuhamasisha wanachama na wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho. Taarifa RASMI zinasema Mwaandaaji wa sherehe hizo za kukichangia chama chetu ambaye ni moja ya hoteli moja maarufu jijini Arusha amewaomba viongozi wa CHADEMA waseme kuwa chama ndicho kinabeba gharama zote ila ukweli ni kwamba HOTELI ndiyo inabeba gharama zote. Aidha watu maarufu kama Wafanyabiashara ambao wako nyuma ya CHADEMA matatizo.
Maoni yangu: Hakuna sababu yoyote ya Mmiliki wa Hoteli hii wala Wafanyabiashara kuogopa kwa sababu wapo Watu wengi wameonesha nia ya kukisadia CHADEMA na mambo yao yanakwenda poa tu, mfano mzuri ni SABODO.

Habari yako ni nzuri, ila umeharibu hapo kwenye RED!Nadhani sote tunataarifa kwamba kuna tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS la kuhamasisha wanachama na wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho.
Taarifa RASMI zinasema Mwaandaaji wa sherehe hizo za kukichangia chama chetu ambaye ni moja ya hoteli moja maarufu jijini Arusha amewaomba viongozi wa CHADEMA waseme kuwa chama ndicho kinabeba gharama zote ila ukweli ni kwamba HOTELI ndiyo inabeba gharama zote. Aidha watu maarufu kama Wafanyabiashara ambao wako nyuma ya CHADEMA kukisaidia nao wameombwa kutotajwa hadharani kwa kuhofia biashara zao kupata matatizo.
Maoni yangu: Hakuna sababu yoyote ya Mmiliki wa Hoteli hii wala Wafanyabiashara kuogopa kwa sababu wapo Watu wengi wameonesha nia ya kukisadia CHADEMA na mambo yao yanakwenda poa tu, mfano mzuri ni SABODO.
Michango kwa CHADEMA imekuwa mingi, hofu yangu ni kwa vipi viongozi wakuu wa Chama hicho wanatumia fedha hizo. Je ni kwa maslahi ya chama kweli? Mara kadhaa nimekuwa nikiliona gari lao moja aina ya vitara rangi nyeusi likiwa katikati ya jiji na vipaza sauti kuwaomba wananchi kuchangia chama. Hata hivyo leo tutakuwa pamoja katika harambee hiyo.
Ni kweli viongozi wakuu wa chama wanatumia fedha hizo kwa ajili ya kampeni
Spinning master, tangu lini mbunge wa CCM akawa mwanachama wa Chadema.Nadhani sote tunataarifa kwamba kuna tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS la kuhamasisha wanachama na wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho.
Taarifa RASMI zinasema Mwaandaaji wa sherehe hizo za kukichangia chama chetu ambaye ni moja ya hoteli moja maarufu jijini Arusha amewaomba viongozi wa CHADEMA waseme kuwa chama ndicho kinabeba gharama zote ila ukweli ni kwamba HOTELI ndiyo inabeba gharama zote. Aidha watu maarufu kama Wafanyabiashara ambao wako nyuma ya CHADEMA kukisaidia nao wameombwa kutotajwa hadharani kwa kuhofia biashara zao kupata matatizo.
Maoni yangu: Hakuna sababu yoyote ya Mmiliki wa Hoteli hii wala Wafanyabiashara kuogopa kwa sababu wapo Watu wengi wameonesha nia ya kukisadia CHADEMA na mambo yao yanakwenda poa tu, mfano mzuri ni SABODO.
CHADEMA inapenda kukushirisha,wewe mwananchi,mpenda maendeleo,mwanaharakati,na yeyote mwenye mapenzi mema na Taifa la Tanzania.Mchango wako ni wa maana kubwa sana,katika ukombozi wa Taifa.Tafadhali changia CHADEMA
changia Haki
Changia mabadiliko.
MPESA
... ... 0757 755 333
0763 744 334
0763 766 333
0758 003 509
AIRTEL PESA
0684 424 229
0684 424 144
0684 425 222
TIGO PESA
0655 788 333
0718 611 168
0718 611 126
Namba zote zimesajiliwa kwa jina la "CHADEMA ARUSHA.
Mungu akubariki sana
hongera kwa hilo,ni hotel gani hiyo?
Nadhani sote tunataarifa kwamba kuna tangazo linalorushwa na REDIO CLOUDS la kuhamasisha wanachama na wapenzi wa CHADEMA kukichangia chama hicho.
Taarifa RASMI zinasema Mwaandaaji wa sherehe hizo za kukichangia chama chetu ambaye ni moja ya hoteli moja maarufu jijini Arusha amewaomba viongozi wa CHADEMA waseme kuwa chama ndicho kinabeba gharama zote ila ukweli ni kwamba HOTELI ndiyo inabeba gharama zote. Aidha watu maarufu kama Wafanyabiashara ambao wako nyuma ya CHADEMA kukisaidia nao wameombwa kutotajwa hadharani kwa kuhofia biashara zao kupata matatizo.
Maoni yangu: Hakuna sababu yoyote ya Mmiliki wa Hoteli hii wala Wafanyabiashara kuogopa kwa sababu wapo Watu wengi wameonesha nia ya kukisadia CHADEMA na mambo yao yanakwenda poa tu, mfano mzuri ni SABODO.
Haogopi mtu hapa hata mkitisha vpNjia za kuchangia zitajulikana tu, kama mtu akitoa cheque itajulikana, kama ukitoa kwa njia za mtandao itajulika na hata njia ya TISS itajulikana. CCM wana mkono mrefu na wana organs nyingi zakutambua mambo.
Ni kweli viongozi wakuu wa chama wanatumia fedha hizo kwa ajili ya kampeni
Spinning master, tangu lini mbunge wa CCM akawa mwanachama wa Chadema.