Mdee: Rais ameingizwa 'choo cha kike'

Katika mchango wake kwa bajeti ya wizara ya kilimo ameongea kwa uchungu sana kuhusu ujio wa MONSANTO kupitia mradi wa uwekazaji katika ukanda wa kusini(SAGOT).hawa jamaa ndiyo wazalishaji wa GMOs na hapa nchini wameshaanza katika zao la Pamba mbali ya mbegu zao kuwa na madhara ya kiafya vile vile inadumaza wakulima wadogo coz pindi unapotumia mbegu zao unamamlaka juu ya mazao yako......

Hivi waalam wote tulionao katika wizara ya kilimo hili hawalioni? Raisi anaingizwa choo cha kike na mawaziri pamoja na wataalamu wanashindwa kumshauri?

Big up sana Kamanda Mdee ujumbe umefika........sauti yako imefunika satu 40 za wabunge wa CCM

:rockon:

Fafanua Mkuu!
 
Choo cha kike?cha mdee au? je Mdee mbona bado yukokwenye hicho choo au kaenda cha kiume? kudadadeki wabunge nyie naona mmezama kweli na lugha zenu hizi..... haya bana yetu macho, itafika tu wkt wa kutoa muarobaini na kama hamjui basi nawaambia utakuwa ni mchungu sana!!

Tafadhali ondoa hayo maneno!
 
Well done Mdee, hao jamaa ni kimeo hata ukijaribu ku-google unapata ufisadi wao, pamoja na kukuwa kwa kasi TEKHOMA hivi rais wetu ataendelea kudanganywa mpaka lini?

Mpaka hapo atakapoelimika mara baada ya 2015 atakapokuwa analima mihogo kwao Msoga!!
 
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike

Hakuna aliyedharau hoja yake akiwamo mimi kwani kusema "choo cha kike" ametumia maneno ya busara kuliko Come on F**k you!! na Siongei na mbwa bali mwenye mbwa au unataka wakulima wa sakalilo kule sumbawanga waje Dar kuuza "CHUPI NA SIDIRIA?-kESSY'.

Alichoongea Mdee ameongeza msisitizo na kisifa kwa alichokuwa anaongea. Nakufagilia Mdee!!!
 
hivi choo cha kike kipoje? maana huku mtaani mambo hayo hatunayo. vyoo tulivyonavyo tunatumia kwa kushare wanaume na wanawake
 
Hakuna aliyedharau hoja yake akiwamo mimi kwani kusema "choo cha kike" ametumia maneno ya busara kuliko Come on F**k you!! na Siongei na mbwa bali mwenye mbwa au unataka wakulima wa sakalilo kule sumbawanga waje Dar kuuza "CHUPI NA SIDIRIA?-kESSY'.

Alichoongea Mdee ameongeza msisitizo na kisifa kwa alichokuwa anaongea. Nakufagilia Mdee!!!

Great thinker!!!!!? Yaani wewe ndio umemwagia maji uharo
 
Ila nikikumbuka lile jamaa ambalo walidai ndo limiliki la dowans! Dah! Hapo naamini huyu jamaa hicho choo cha kike anaishi humo humo.
 
Choo cha kike?cha mdee au? je Mdee mbona bado yukokwenye hicho choo au kaenda cha kiume? kudadadeki wabunge nyie naona mmezama kweli na lugha zenu hizi..... haya bana yetu macho, itafika tu wkt wa kutoa muarobaini na kama hamjui basi nawaambia utakuwa ni mchungu sana!!

mkuu, kwani choo cha kike kipoje? maana huku mtaani hatuna choo cha kike wala cha kiume. huku tuna share tu
 
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Ni nzuri ukilinganisha na ile ya Serukamba!!!! Ila lugha ya choo cha kike ni ya kifasihi na inaeleweka!! Unatumia lugha ya imaginary picture kuonesha mtu amekosea!! Mfano imagination ya mwanaume anaingia choo cha kike na mwanamke anaingia cho cha kiume.
 
Kweli, Kutuletea GM seeds ni UTAAHIRA. JAMANI. GENETICALLY MODIFIED ANYTHING NI HATARI KWA UHAI WETU. Hasa Modified Genetically foods. Au mnataka Tuanze kuzaa MAZOMBIES jamani. Khaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kutokana na maelezo ya Mdee ni kwamba unapoamua kutumia mbegu za Monsanto unakuwa umeingia kwenye kilimo cha mkataba(Contract farming) naomba kuwasilisha mkuu.

Nashukuru Mkuu,
Kwa hiyo na hayo mazao unayozalisha wewe ni sharti wanunue wao tu?
 
Mi nadhani wenye kudhurika ni sisi wananchi. Kwa sababu hiyo tusambaze ujumbe kwa wananchi wote hasa vijijini ikibidi tufanye maandamano kama yakusini kuwapinga nakuwataka waondoke nchini. Serikali haiwezi kutusaidia kama hatuko tayari kujisaidia wenyewe. Yes we can!
 
Back
Top Bottom