Tatizo lako unafikiri mawazo na fikra zako zako ndivyo zilivyo pia na kwa watu wengine.Je kama Halima ndiye aliyeiweka humu?
-Kwanza uombe radhi kwa kuleta complaints kwenye jukwaa la siasa huku ukijua kuna jukwaa la complaints.
-I don't know what exactly are you trying to achieve Hon'ble deputy minister
-Si ndani ya bunge hilo hilo spika wa bunge alimkataza Dr.Slaa kuleta habari ambazo source ni mitandao?Mawazo primitive kabisa kabisa
-Mbunge kijana na naibu waziri mzima alitakiwa afanye better kuliko haya maana umekuja huku tena kwa kuingia sehemu ambayo siyo kwa ajili ya kutafuta political credit huku ukijua kwamba ungeweza kumkumbusha huko huko bungeni hata kwa vimemo tu
-By the way tunasubiri bajeti yako kwa hamu maana wizara yako imewaumiza watanzania kuliko kawaida.Fanya kazi
Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
kaileta yeye mtoa mada, baadae atasema pia hakumu-acknowledge yeye kwa kuileta hapa, lol!Je kama Halima ndiye aliyeiweka humu?
-Kwanza uombe radhi kwa kuleta complaints kwenye jukwaa la siasa huku ukijua kuna jukwaa la complaints.
-I don't know what exactly are you trying to achieve Hon'ble deputy minister
-Si ndani ya bunge hilo hilo spika wa bunge alimkataza Dr.Slaa kuleta habari ambazo source ni mitandao?Mawazo primitive kabisa kabisa
-Mbunge kijana na naibu waziri mzima alitakiwa afanye better kuliko haya maana umekuja huku tena kwa kuingia sehemu ambayo siyo kwa ajili ya kutafuta political credit huku ukijua kwamba ungeweza kumkumbusha huko huko bungeni hata kwa vimemo tu
-By the way tunasubiri bajeti yako kwa hamu maana wizara yako imewaumiza watanzania kuliko kawaida.Fanya kazi
Never in the history of Tanzania have we descended to this level of shame, ridicule and sham in our political fraternity and it is a pointer to things that will follow should we continue to trivialize its sensitivity.
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Bungeni kama umeidharau ni wewe, hiyo nahau ya kimjini mjini wala sio lugha mbaya wala ya dhihaka, ila kama umekwazika na unaridhika hoja ni nzuri hebu tuwekee kwa maneno ya kiungwana basi sio wapinga tu kwa sababu hoja imetoka Chadema.halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike
kwani ni uongo, jamaa mbona ni kawaida kuingizwa choo cha kike.
laptop yake anaitumia kuangalia ngono tu badala ya kufatilia mambo kama haya......Well done Mdee, hao jamaa ni kimeo hata ukijaribu ku-google unapata ufisadi wao, pamoja na kukuwa kwa kasi TEKHOMA hivi rais wetu ataendelea kudanganywa mpaka lini?
Ukiwa unaongea na wahuni au kuhusu mhuni tumia lugha yake ambayo ni ya kihuni ili akuelewe zaidi tuko pamoja mama....Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Inasemekana watendaji wake ndo wanamuangusha....!Lakini mimi naona Raisi hajaingizwa....kaingia mwenyewe choo cha kike kwani yeye gogo?
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri