Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,090
- 143,309
Huyu Ben Saanane ni plagiarizer mzuri kweli kweli kwa wajinga fulani hapa JF lakini tunajaribu kuwa kimya ili mwanaharamu apite. Tatizo mwanaharamu akipita anaanza kurusha maneno ya kejeri.
Hawezi kuja na verified name kujieleza labda kama anataka kuvaa taulo la aibu zaidi. Kama exposure ya India imemsaidia, basi anaweza akauvaa uungwana na kuomba msamaha kwa jambo hili na watu wakalisahau. Lakini kama atataka kuwa kama wanasiasa uchwara wa Tanzania, basi inambidi atafute siraha nyingine ya utetezi lakini siyo hii ya kusema eti ni active member kwenye foreign forum. My foot.Duh!
Ben wa Saa Nane itabidi ajieleze hapa.
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike
Monsanto is an evil company! sijui kwa nn wataalamu wa Tanzania wanashindwa kueleza kwa uwazi hatari itokanayo na GMO?
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
halima mdee ana hoja nzuri lakini lugha ya kihuni anayotumia inafanya hoja yake idharaulike
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Lugha aliyotumia mdee siyo nzuri
Raisi wangu chonde chonde nakushauri uache udalali wa kupigia upatu biashara ya wazungu kutulisha sumu na chemical zao kwa ajili ya manufaa yao.Katika nchi yetu kubwa yenye nguvu ya <75% ni wakulima mashambani na ardhi ya kutosha zaidi ya hekta <4.million za ardhi kuna haja gani ya kurasimisha sumu.?
Wataalamu wa kilimo na ufugaji mpeni ushauri raisi wetu japo wakati mwingine mbishi na mbinafsi gharama na hasara ya mazao ya GMO ni kubwa kuliko faida yake kwa kpindi kirefu kwa uchumi na afya za taifa letu.Wazungu nia yao ni kushika na kucontrol uchumi katika sekta ya kuuza mbegu,mbolea vitu ambavyo mkulima wa kawaida hataweza kupata kwa wakati mwafaka.Jamani GMO itatupotezea mchele wetu wa kienyeji super wa Kyela,kilombero,kahama,chato,Musoma na shemu nyingi walizoea vyakula vya asili.
Raisi Kikwete siyo kweli kuwa njaa katika nchi maskini itaondolewa na GMO kama ambavyo wabinfsi wachache wanakudanya na kushauri. Muhimu katika nchi yetu hii ni kuwekeza kikamilifu na kuunganisha program na miradi mbalimbali ya kilimo kulingana na mazingira ya mkoa au Wilaya.