Dar: Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na CHADEMA, Kuongea na Wanahabari

Status
Not open for further replies.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC
  • Atasema Mbowe alikuwa analazimisha mademu zake wawekwe na yeye akakataa ndiyo maana kafukuzwa
  • Ataongea kuwa CHADEMA walikubali na yeye kwa kuwa ni mwenyekiti wa BAWACHA akakataa kuweka watu wasio jenga chama
  • Atasema CHADEMA kuna mfumo dume ambao haupendi kuona wanachama wanakua kisiasa
  • Atasema kuwa barua ilipelekwa TUME/NEC na Katibu Mkuu
  • Atatangaza kuwa yeye bado ni Mwenyekiti wa BAWACHA na ile secretariat yao ya BAWACHA haijafukuzwa
*MWISHO atasema kuwa wamehukumiwa bila kusikilizwa

HAYO NDIO YANAYOPANGWA MUDA HUU HUKO CCM NA MDEE NA BULAYA

=====

Wabunge 19 wa Viti Maalum waliovuliwa uwanachama na Chadema jana kwa tuhuma za usaliti, Kesho Jumapili Nov 29, 2020 wamepanga kuzungumza na waanahabari jijini Dar es Salaam.

Wabunge hao 19 ambao kwasasa kwa mujibu wa katiba ya Tanzania Ibara 67(b) wamekosa sifa za kuwa wabunge
 
Busara za kawaida zinamtaka Mdee na genge lake kwa sasa wachutame wasubiri muda kidogo upite then wawaombe msamaha Chadema na Watanzania kwa ujumla kwa ujinga na upuuzi waliofanyishwa na Job.

Otherwise-wategemee anguko kubwa sana na la fedheha mbele yao. By the way-Job na genge lake wanawatumia kwa sasa baadae kidogo watawatelekeza kwa fedheha sana.

God bless the dead.
 
ALERT
CCM wamemuandalia Halima Mdee press conference kesho na ajenda ni kama ifuatavyo:-
  • Kuwa alipewa baraka zote na Mbowe kwenda kuapishwa na wenzake covid 19
  • Aliruhusiwa na Mbowe aandae list na iende NEC...
Ni mbwa kabisa,
Hayo mapungufu ya chama,huwa yanasemwa mtu akishafukuzwa chamani,tumeyazoea,
Chama kitabaki na nguvu tu,aliondoka,Warid kabulu,aksondoka Slaa,aksondoka Zito,sembuse Hawa wadangaji
 
Kwa afya ya Nchi mwenyekiti wangu wa CCM akutane na hawa vyama rafiki ili maisha yaendelee. Tunachafuka sana sana.
Kama ilivyotokea kwa wale viti maalumu wa CUF CHADEMA watateua sasa wabunge halali wa viti maalumu na kuwasilisha majina yao.

CCM na Rais tutambue kwamba hivi vyama vingine ni muhimu kwa uhai wa Taifa lazma tuvijenge na pia.

Tuheshimu Viongozi wa vyama vyote kuna vitakataka ndani ya CCM eti vinamdharau Mbowe au Lissu au Maalim Seif. Hii ni laana.
CCM tumeiba tukashindishwa Sasa tutazame taifa linaenda wapi?!
 
Yatafichuka maovu mengi sana ya chadema mauaji na mipango yote ya hila manake mdee aliaminika sana ni wazi pia alishirikishwa mengi
 
Hivi mbona kila mpango unaoandaliwa na CCM huwa unagonga ukuta na mwisho wanalazimisha ushindi kwa mabavu?

Ni upungufu wa watu wenye akili au ina viongozi wasio akili na wanawalazimisha wenye akili kufuata yao?
Huwa unaandaliwa kipumbavu sana, huwezi andaa mpango wa kitaifa kwa kutumia mawazo ya kitongoji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom