Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,563
- 7,321
Kuna mdau mmoja humu kauliza swali kama kiredio na demu wake wamewchana.
Hata hivyo kamati ya umbea ya JamiiForums ikiongozwa na Gentamycin imefuatilia na kubaini Demu wa kiredio anayejulikana kama Vee Dollarz amefuta picha zote alizopiga na kiredio au alizochapisha zenye sura ya kiredio katika ukurasa wake wa Instagram. Huku kiredio yeye akiendelea kubakiza picha kadhaa za demu wake katika ukurasa wake wa Instagram.
Hii ni dalili moja wapo kwamba hawa watu hawako pamoja au hawana tena ule ukaribu kama wa awali, hasa kwa msichana baada ya kufuta picha za kiredio.
Wengine walijaribu kusema huyu demu ni lazima angekuja kumuacha Kiredio tu kutokana na Exposure aliyoipata kutoka kwa Kiredio. Kiredio aliweza kumtambulisha demu wake kwa wasanii wakubwa kama Diamond na Zuchu hasa kwenye zile party ambazo waliharikwa na Zuchu au Diamond. Pia hata kutoka nje ya nchi na kukwea pipa mara kwa mara ilionekana kama ni michongo ya Kiredio.
Habari za Town zinasema huyu demu kapata Kigogo, Taita, Don mmoja ndio alikuwa anamfadhili kimya kimya, kiredio kujua ndio ugomvi ukaanzia hapo. Japo sio official newz
Kwa wanajamiiforum ambao mnaachwaga nyuma na spidi ya social media na matukio yake. Kiredio ni Content Creator maarufu Tanzania anayejulikana kwa kufanya challenge mbalimbali ikiwemo kutoa zawadi na misaada mbalimbali. Amejizoelea umaarufu mkubwa sana hasa enzi zile za content zake zilizokuwa zinahusu fumanizi. Content zake nyingi zimekaa kama za Mr. BEAST kwa wanaomfahamu