Mdau wa JF: Kiredio na Demu wake wameachana

Mdau wa JF: Kiredio na Demu wake wameachana

Hata Mimi nimekutana nao lakini wanaiweka ki professional wajiita professional Detective. Lakini huyu nj Wa jioni kabisa
Mimi ni wa udubu.... Hakuna mtu ambaye sio mbea hapa duniani... sema wengi wanajifanya Low Key, lakini unakuta ndio wambea
 
90 % niliokutana nao wapo hivyo Aisee, tena wanaume na sio wadada
Hakuna mtu ambaye sio mbea hapa duniani... sema wengi wanajifanya Low Key, lakini unakuta ndio wambea

Umbea ni sehemu ya maisha, ni kama mtu anavyozunguzia siasa labda kiongozi fulani kaibiwa kura au kaenguliwa... au mchezaji mpira kuachana na timu yake.... zote ni umbea
 
Fake P mtani wako ,mimi nimekoleza tu
 
Sasa hivi ukisikia MAHUSIANO yoyote yamevunjika, JUA pesa pesa pesa ndio chanzo AMINI nakwambia vingine ni vijisababu TU pesa NDO mchawi
 
"Weak mind discuss people"
As an Expert member umejikunja wee umetafakari wee ukaona uje na huu uzi
 
Kuna mtu mmoja alishawaji kuimba "don't saver her, she don't wanna be saved...
" So save her at your own peril nawasilisha.
 
Haya sasa najitolea kuwapa shamba wewe na hao watu mkalime
Wewe unadhani kila mtu ni Mkulima kama wewe...

Dogo sio kila mtu Mporipori.... wewe kalime utuletee sisi tutanunua
 
Back
Top Bottom