Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

CCM na siasa ya kuchanganyikiwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Jusa kashutuka kamponda nape noma watu wanashangili weweeeeeee
 
Jusa:
hauwez kusema serikal inafata ujmaa wakat imefungua njia nyng za ubepar, wamebnafsisha mashrka ya umma. Anasema hiz ndizo sababu za ccm kuchoka, anasema ccm knatangaza itkad za ujamaa, ila znatekeleza ubepar. Anasema kuwa ccm kna itkad za kuchanganykiwa. Anasema ccm kipumzshwe kimechoka.
 
Marando:
shibuda n mbunge kuptia chadema ila yy sio chadema.


Ni kweli shibuda sio chadema na wala chadema sio mtu yoyote bali chadema ni chama chenye muunganiko wa wanachama wengi na kinaweza kuendelea kusimama bila kuwepo shibuda au mwanachama mwingine yeyote.
 
Jusa kawambia CCM itikadi yao ni frustration and confusion hii inaendena na ya Kikwete kuwa ni kigeu geu.
 
Maji ni maji, na mafuta ni mafuta.
Cuf hatimaye ime dhihrika ni partner wa CCM na ni maadui wa CDM.

CUF c chama cha upinzani.
Issinge ingilia akilini kama wangekuwemo kwenye kambi rasmi ya upinzani bungeni.

Mimi, sasa kuliko muda mwingine wowote, naamini kabisa na pengine wananchi wengi wana amini hivyo kwamba:
1. Viongozi wa CUF wamehongwa madaraka,
2. CUF sasa si mpinzani
3. Wanasiasa si wa wakuwa amini kabisa kwani hapo nyuma kidogo tu, cuf ilikuwa kama cdm leo.

Wana siasa ni lazima wawepo?


Nimepotea jamani ebu mwingine aendeleze, nime data.
 
Nape kakataa ujamaa na kusema kuna ujamaa wa kisayansi na ujamaa wa ki art?
 
Ismail Jussa anasisitiza kuwa CCM haina itikadi bali ni siasa ya kuchanganyikiwa na frustration, awamu zote hazitekelezi Ujamaa zaidi ya Mfumo wa Soko ambao hata wao CCM hawajui ni kwa jinsi gani ya kujiendesha.Anajibu sasa swali la Muulizaji aliyetaka kujua kama CUF inafuata msimao wa Liberal wa kushoto au kulia.JUSA: Watanzania wamechanganywa mpaka wamefika pahala wanadhani labda kuna uriberali wa kulia na kushoto si hivyo, Liberal wamesimama kwa mabadiliko.Hatimaye Ile ndoa ya CCM na CUF katika mdahalo huu baada ya kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa sasa imevunjika Rasmi na wanaanza kurushiana madongo.NAPE Karrudi Upya anajibu sasa kuhusu Ujamaa.Anasema Ujamaa wa Kiafrika ni kuwafanya wanachi wamiliki na kuongoza uchumi wao kwa hiyo CCM wapo bado katika stage ya Mwanzo ya UjamaaAnakuja kujibu Marando sasa...
 
Nape:
wananch wamejua kuwa vyama vngne vnajfunza thats why bado wankpa kura Ccm.
Anasema kuwa ujamaa wa kiafrka sio wa kisayansi, huu unaruhusu uchum kutomilikiwa na serikal.
 
Nape: Ujamaa ni kuwawezesha wananchi kuwezeshwa kumiliki uchumi wa nchi yake (kwa akili zake hicho ndicho kinachofanywa na CCM)
 
Walah nape amebanyawa sn hana pa kupumulia kaambiwa wasijiite chama cha ujamaa na kujitegemea mana wanategemea kila ki2 toka nje
 
Marando: Hakuna ujamaa ambapo watawala wanamiliki majumba ya kupangisha na malori
 
Marando:
hakuna ujamaa unaoruhusu viongoz wa serikal na watoto wao kujmlk malor.
 
Mshaurini Nape akamjulie khali ya afya ya Mzee wake kule India,dad is sick Nape and better meet him now before is too late
 
Marandu anamwambia nape haiwezekani wajiite wajamaa na kujitegemea wakati viongozi wanamiliki malori wao na watojo wao nadhani alimgusa kikwete,
 
Back
Top Bottom