Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
Nape anauliza uzee wa chama unatokana na muda wa chama uliokaa madarakani au ni wingi wa wazee walioko kwenye chama hicho'? Anasema watanzania wanajivunia kuongozwa na ccm. Anasema cdm hawawezi na wanaogopa kumfukuza shibuda kwani wanaogopa wakimfukuza watasambaratika