Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 187
Marando: Sijahama hama chama kama nilivyoulizwa...mimi ni kati ya watanzania ambao hawajawahi kuwa wanachama wa CCM...nimekuwa NCCR kama mwanzilishi na sasa CDM... Nimesoma hali ya kisiasa nchini nikaona CDM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kuiondoa CCM madarakani