Chromium
JF-Expert Member
- Apr 17, 2008
- 589
- 187
Marando: Chama lazima kiwe na msimamo na kulinda maadili. Kiongozi wa chama anapojifanyia maamuzi yake pasipo kuwasiliana na chama hafai...inasikitisha kwamba baada ya kuwafukuza (madiwani wa Arusha) sasa hivi wanakumbatiwa na CCM inaonyesha ni nani aliwatuma awali