Sasa wewe na wengine wanaotoa vitu nusunusu,mnatujuza sisi ambao hatuangalii huo mdahalo au mnabadilishana mawazo nyinyi mnaoangalia?La cdm tena la udini
<br />Nape anamumunya mdomo tu.
Jamani mbavu zanguuuu!<br />
<br />
Kama muda ni kuanxia saa Saba usiku mpaka saa Tisa usiku, lazima watakaojaa kimahudhurio ni Walinzi wa usiku a.k.a Kolokoloni na Waanga. Msalimieni Shehe Yahaya mnaweza kuwa nae muda huo