Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Marando anasema cdm walikataa posho while cuf wanakubali je huku ndio kuungana? Marando anasema zenji hakuna chama cha upinzani
 
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Acha mambo ya ajabu weka masabuni yako vizuri na uangalie majibu ya kiumeni toka kwa Marando anajenga hoja vizuri sana
<br />
<br />
Mpe masabuni yako atazame aliye shindwa na ka chama chake ka CCR
 
Huyu wa zanzibar anasema chama cha nape kimekaa madarakani kimezee kimechoka na hakiwezi kuongoza nchi.
 
Mie sio mshabiki wa chama chochote, ninavyoona Jusa anajitahidi kuliko wenzake.
 
Marando:
hatubezi kilichofanyika Zanzbar, ila kwa sasa hakuna chama cha upnzan. Nani wa kuwasemea wananch wa Zanzibar.
Jusa:
chama cha Nape kimechoka, hakina jipya. Cdm ni udikteta kuwatimua madiwan wa Arusha mbona walishirikiana ktk Halmashaur ya Kigoma. Kuhusu posho mbona Shibuda anataka aongezewe posho. Kwanini Cdm kimenunua magar chakavu kutoka kwa m/kit wake Mbowe.
 
Nape anajigamba kua wao wanaweza kuchukua maamuzi magumu na wakasonga mbele ati cdm wanashindwa kumfukuza Shibuda
 
Back
Top Bottom