Mdahalo wa wanahabari Star Tv chini ya Chief Odemba

Mdahalo wa wanahabari Star Tv chini ya Chief Odemba

Balile ameanza uchawa wake na wenzake wako tofauti kabisa na yeye.
 
Mjadala umekuwa wa moto sana, hapa Khalifa na Balile ngumi zitarushwa muda si mrefu.
 
Kwa nini hawataki kusikilizana? Kanuni mojawapo ya mjadala ni kusikilizana, yaani anaongea mmoja mmoja!
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Kwa nini hawataki kusikilizana? Kanuni mojawapo ya mjadala ni kusikilizana, yaani anaongea mmoja mmoja!
unamsikilizaje mtu ambaye anapindua maneno yako waziwazi
 
nimezungumza na ndugu zake (nchimbi) wameniambia mbona yupo - Balile 26/9/2026
 
Back
Top Bottom