Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

Kuna aina flani ya upendeleo,majibu ya Marando mengi hayatolewi hapa au anaishindwa kujibu maswali?! Maana ni Jusa na Nape 2

Nape Anakubali nchi yetu ni tajiri mfano madini,mafuta nk sasa kama ni hivi tatizo nn wananchi maisha yamekua magumu? Nape hajui kitu

Nape anasema nch yetu ni tajiri anasema hata enzi za nyerere kulikua na mdasikini na matajiri, anasema yeye ni kama sokoine anapambana na mafisadi

Anasifia shule za kata ati zinafamya vzr mfano wale 4m six waloletwa bungeni robo tatu yao wametoka skuli za kata

Hili nape kadanganya, pale hapakuwa na mwanafunzi aliyesoma shule ya kata hata mmoja sema wale wote waliotoka shule za kutwa walibatizwa kuwa walitoka shule za kata.

Nape:
robo ya wanafunz waliofanya vzur kdato cha cta wanatoka shule za kata.
Nch hii siyo maskini, kuna rasilimal nyng.
Kuhusu matabaka ktk uchum, anasema kuwa hakuna nch ambayo hakuna matabaka, hata enz za Nyerere yalikuwepo.

Nape anajb juu ya Udini: kua hakuna haja ya kulalamika juu ya udini kwan waweza zamisha nchi yetu

Nape nape kapinga udini amna kapingana na jk mamaaaaweee

Kuhusu Udini: Watu wanazusha yasiyokuwepo...mwaka jana kelele za udini zilianza kupigwa na watu wa kawaida, ikabidi kiongozi wa nchi aingilie kati

Nape anasema swala la udini lilikua linalalamikiwa na wananch wa kawaida.

Nape:
udin utaangamiza nch yetu. Anafoka sana.

Nape kakubali kuwa Tanzania ni tajiri na siyo maskini.Duh anapingana na Kikwete ambaye amesikika akisema nchi yetu ni masikini ndo maana tunategemea misaada.

Kuna aina flani ya upendeleo,majibu ya Marando mengi hayatolewi hapa au anaishindwa kujibu maswali?! Maana ni Jusa na Nape 2

hashndw, angalia vzur yapo. Marando haulzw maswal meng kama Nape.

jussa kajibu kuwa muungano wao ni kimkakati kuelekea katika kuiongoza serikali ya kitaifa zenji na kuindoa magamba bara ila akatoa angalizo la wananchi wawe makini ktk hili ili yasitokee ya zambia

nape anasema udini utalitumbukiza taifa mahali pabaya,itaizamisha tanzania yetu,yeye haamini kama kuna udini kwani tukiundeleza tutawaamsha wale ambao hawaujui

Nape anaulizwa ujamaa wa ccm wa watoto na wazazi kushika nyazifa serikalini ni wa kisayansi au?

Ndo unaendelea sasa nape hajibu maswali kama alivyoulizwa na maswali mengi yanatupwa kwake

Kuhusu Udini: Watu wanazusha yasiyokuwepo...mwaka jana kelele za udini zilianza kupigwa na watu wa kawaida, ikabidi kiongozi wa nchi aingilie kati

hapa Nape amedanganya. Viongoz gan walikemea.

Swali kwa Nape: Utaratibu wa watoto wa waliowahi kuwa viongozi wa nchi hii (yeye Nape, Vita Kawawa na kadhalika) kupewa nafasi zinazoonekana kuwa za upendeleo ndio ujamaa wa kisayansi ama wa kiafrika?

Back
Top Bottom