Mdahalo: Ndugai vs Lissu - Jumamosi Julai 30

Status
Not open for further replies.
Siungi mkono aina yoyote ya uonevu.
Hata kama CCM ni waonevu,tusilipize uonevu kwa uonevu.
Huu ni mpango wa kumuaibisha naibu spika wetu.
NDUGAI HAMUWEZI LISSU.
 
Ndugae yuko fiti nyie, hamkumbuki alivyojitahidi sana kuwashawishi waingereza waturudishie chenji!!!!!!!!!!!!!1
 
Kwa nini mdahalo huu usingefanyika Dar? Naomba pia kureschedule time, wanze saa asubuhi au mchana.
 
kwa sheria za bunge Tundu ataumbuka, hazijui, ama sheria za nje ya bunge Tundu anazifahamu sema tatizo lake hajui kujenga hoja kwa lugha ya kawaida huwa anajenga hoja kwa lugha ya jaziba sana. kitu ambacho mimi siamini kama mtu kujenga hoja mpaka utumie jaziba


Huyo Lissu unaemzungumzia wewe ni yule Tundu Lissu tunaemjua sisi au? acha uvivu wa kufikiria wewe tangu lini lissu hajuai kujenga hoja? hivi kuna mbunge gani wa magamba anakuja na hoja zenye uthibitisho wa kisheria na kikatiba? Ndugai 10%--90% Tundu Lissu katika kujenga hoja
 
Ndugai aandike maumivu kwa Lissu, atasambaratishwa mpaka aone cha moto.
 
Ndugae yuko fiti nyie, hamkumbuki alivyojitahidi sana kuwashawishi waingereza waturudishie chenji!!!!!!!!!!!!!1
hivi alienda ndugai peke yake??hawaaminiki hawa inawezekana walitoa rushwa kuipata hiyo chenji...na siamini kama kweli serikali ya uingereza imekubali mpaka uthibitisho imeingia ex-chequer a/c
 
Nitatafuta sehemu yoyote penye umeme ikiwezekana hata kwenda kuangalia moro kama hapa dar kutakuwa hakuna umeme lakini nina wasiwasi kama ndungani atahudhuria kwani ni mweupe sana halafu sio saizi ya tundu lissu,lissu ni sawa na wabunge wote wa magamba(vilaza),yaani ninahamu kuona magamba yanaumbuliwa siyapendi mpaka basi.
 
Katibu Mkuu wa CCM Bw. Mkama, inasemekana ingawa sio sehemu ya Bunge amemkataza Bw. Ndugai kushiriki mdahalo huo, ukitilia maanani yaliyowafika wakati wa midahalo ya uchaguzi mkuu uliopita. Tusubiri tuone kama Willison Mkama naye ni kama Yusuph Makamba
 
Hivi form one na chuo kikuu wanaweza kuwa na mdahalo sawa! NDU=Form one, Tu=Chuo kikuu
IPO SIKU! IPO SIKU! IPO SIKU INAKUJA!
INANIUMA SANA,INANIUMA SANA INANIUMA SANA................IPO SIKU INAKUA......
WAZALENDO WATASHINDA NAKUAMBIA....IPO SIKU NASEMA
HAKIYANANI TUTASHINDA .....TUTASHINDA NASEMA TUTASHINA...
NAWAAMBIA WABUNGE WOTE WAliokaa kishabiki bila kuweka mbele maslahi ya waliowapa dhamana ya kuwaongoza siku inakuja watakapotamani walau wakakae kwenye viti vya wageni pale bungeni lakini hawataipata!. Nawambia wasipobadilika Mungu atawahukumu.kwa sababu wanaamini kuwa wapo juu ya sheria na kuamua kufanya lolote lile.
INANIUMA SANA. IPO SIKU NASEMA >.....IPO KARIBU SANA!
 
Ndugai naona anajifagilia bungeni kuhusu huu Mdahalo kwamba yeye keshashinda hata kabla ya Mechi kuanza, haya bana, naona wabunge wameshangilia kweli kusikia huu mdahalo, ni mechi kali, cant wait to c this........

Na Ansibert Ngurumo yupo Mjengoni sasa hivi...!!
 
Ndugai kathibitisha bungeni kuwa atahuduria, na akaongeza kuwa kwa yale makofi aliyopigiwa bungeni mara baada ya kuutangaza mdahalo huo, basi ataibuka mshindi! Du, haya mambo ya kusikiliza waliosema ndio na sio halafu unaamua kusikia kuwa waliosema ndio wameshinda yanatabu kweli!
 
Nitatafuta sehemu yoyote penye umeme ikiwezekana hata kwenda kuangalia moro kama hapa dar kutakuwa hakuna umeme lakini nina wasiwasi kama ndungani atahudhuria kwani ni mweupe sana halafu sio saizi ya tundu lissu,lissu ni sawa na wabunge wote wa magamba(vilaza),yaani ninahamu kuona magamba yanaumbuliwa siyapendi mpaka basi.

Ondoa hofu, kalithibitishia Bunge sasa hivi kwamba mpambano utakuwepo, na yeye atakuwepo ndani ya jumba, na keshajipa ushindi wa kinafiki tayari. Tundu Lissu kagonga sana meza kushangilia huu mdahalo. Ngoja tuone.
 
<font color="#a52a2a"><b>Lissu hana ubavu kwa Ndugai, ni mgeni mno kwenye siasa. Na isitoshe Ndugai ni BOSS wa lissu</b></font>
<br />
<br />Kwa hiyo ukishakuwa BOSS basi ndo tiketi ya kujua kila kitu na kutoshindwa ktk kuargue cases ??????thinking yakibabaishaji sana hiyo.... Kwa mtazamo wako Boss is always right. Magamba ndo wanathinking hiyo ndo mana upinzan-CDM wakiwashauri wanaona wametukanwa.nn BOSS hata mtoto anaweza kuwafit kiliko MZAZI .....tafakari
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom