Mdahalo: Ndugai vs Lissu - Jumamosi Julai 30

Status
Not open for further replies.
Kiranga said:
Ofisi ya Spika inajidhalilisha kwa kuingia mdahalo usio mizani, zaidi ya hapo inajifungamanisha na chama tawala.

Kofia ya ofisi ya spika haipaswi kuchanganywa na siasa za vyama.

But I guess everyone is so souped up about mdahalo hatulioni hili kama tatizo.

Sijawahi kusikia speaker of the commons anaenda ( in that capacity) kwenye ki extra-parliamentary debate na leader of the opposition, to what end?

Kiranga,

..asante kwa kuliona hilo.

..ungeona mdahalo kati ya Ndugai na Mbowe, ungeelewa kwamba kwa mtizamo aliokuwa nao Ndugai dhidi ya vyama vya upinzani, there is really no way anaweza kuwatendea haki bungeni. kitu cha kusikitisha ni kwamba Mbowe did not call Ndugai out for that.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom