Mdahalo: Kids Vs Spouses

Halafu hii 'Unconditional Love' ndio ipi hiyo?????????

mimi navyojua love zote zinakuja kwa conditions......

kwa mke utataka awe muaminifu kwako,akuheshimu na kadhalika...

kwa watoto utataka wakusikilize,wawe na heshima na adabu,wafuate ushauri wako na kadhalika....

mpaka leo sijawahi kukutana na 'Uconditional love'......
au labda siielewi??????????
 


Unatumia juisi gani aiseee!!! I owe you one.
 

...lol, wewe mchungaji siku hizi, khaa! haxa bana, nitarudi bdae..sredi siifaidi hii via mobile x
 
Whaaaaaaaaaaat?????

Nina mama yangu mdogo after 10yrs of marriage baba mdogo alimtariki kwa kutozaa, ki ukweli baba mdogo alioa mwingine akazaa. sasa unaposema kwamba eti mke au mume ni zaidi wakati kilichomtoa mama yangu kwenye ndoa ni kukosa uzazi nini maana yake? Ni kwamba bond kubwa ya familia ni watoto siyo mnavyofikiri nyie. Mke/mume kia mtu ana haki ya kuwapenda kadri ya uwezo wenu.

Mke/Mume si ndugu hata siku moja, products zenu ni watoto ndiyo maana mnapozaa kila mtu anapunguza upendo kwa mwenzio na kuhamishia kwa watoto.

Tuombe Mungu atubadilishe!
 

The Boss ,so called love ina kuchorana sana,ukitaka kujua angalia wale ambao kwenye utoto wanajitia eti wanawapenda sana wazazi wao subiria wazazi wakiingia uzeeni wanapoanza lugha za...ah dingi nae...hapo mzazi unaipata fresh hasa ukifikiria ulivyosota ili kuwaandalia maisha bora.
 
Ni msemo tu huo Boss na usiuchukulie literally. Kwa uelewa wangu ni msemo ambao unasisitiza upendo wa dhati.

nafahamu ni msemo tu
but huoni unatumika vibaya???

eti mapenzi kwa watoto wangu ni 'unconditional' while actually hakuna kitu kama hiko...
 
nafahamu ni msemo tu
but huoni unatumika vibaya???

eti mapenzi kwa watoto wangu ni 'unconditional' while actually hakuna kitu kama hiko...

Mbona ni misemo mingi tu inatumika vibaya Boss..... Ukiitafuta sana mantiki katika misemo ihusianayo na mapenzi na mahaba unaweza usiipate. Ndicho nilichojifunza hicho.
 
...lol, wewe mchungaji siku hizi, khaa! haxa bana, nitarudi bdae..sredi siifaidi hii via mobile x
Haha!! Lol Mbu nasubiri unipe kitu valid otherwise i hope we are on the same page lol
 
Reactions: Mbu

Swali la mjadala huu hautafikia mahali tukaelewana humu ni sawa mnajadili kati ya kipa na kiungo nani wa muhimu kwenye timu!

Hata mimi nilikua naamini huu mjadala hautafika popote mpaka babu alipoandika hivi hapa chini


Kwa kweli hapa babu kidogo ndio naanza kuelewa hii sredi maana nilikua naona kizunguzungu tu humu, kwa sie wakinamama mwenzangu watoto ndio no 1. Tunajikaza tu kusema tunawapenda wanaume zaidi.

Na hivi nyie kina babu kama mwawapenda sana wake zenu kwa nini huwa mnacheat? madai mwanaume haridhiki na mwanamke mmoja. Mbona hamsemi hamridhiki na watoto ambao ni wako tu?
 

Shikamoo babu!!
Hapa leo nitakuwa msomaji zaidi na mngongaji "likes" kwa sana............. maana sina vyote viwili
Kwa maelezo yako hapo juu.......natamani kuliona tabasamu la bibi baada ya kusoma hiyo dedication..........nahisi atajisikia ni mwanamke mwenye bahati duniani.
 
Caroline Danzi .................Maisha ni ya ajabu hata ujitahidi kiasi gani kufanya kile unachofikiri ni chema kuna upande wa pili utapokea mingumu na miereka ya ajabu halafu kule kulikokuwa kunaendana na nafsi yako nako kunapelekwa kwingine naye huko anapokea mateke na miereka balaaaaaa Mungu wa ajabu sana na maajabu hayatakaa yaishe ndio maana kila siku ni shule.

 
Maty hujawahi sikia/ona mwanamama anaua au anawauumiza watoto wake psychological /physical sababu tu ya mapenzi anayokosa toka kwa mume.

na hapo chini sema kwanini watu wanacheat naona umekuwa bias kidogo..........babu hii thread inaweza ikakufanya ukabwabaja ovyo

 
Nilikuwa na kaka yangu (may his soul RIP) alikuwa ni kipenzi cha baba; unajua kipenzi wewe?? Baba alikuwa anatupenda wote lakini huyo kaka was like his best friend.

What happened ni kuwa baba ali mspoil huyu kaka. Mama alikuwa anagombana saana na baba kuhusu jinsi anavyomlea huyu kaka.

Yani ilifika kipindi walikuwa wanaenda wote bar; na tulikuwa tunajua anawajua mpaka mabibi wa baba.

Hiyo ilimtia jeuri sana na akawa hasomi; yeye kazi yake ni kuendesha magari na kubadili wasichana.

Mwisho wa siku alijiingiza kwenye makundi ya wavuta bangi; by then baba na mama walikuwa wameshahachana.

Baba alipoona kuwa kaka sasa ashikiki akamtimua nyumbani; and guess what??

Alihamia kwa mama na ndiko alipofia.

What I wanted to show you ni kuwa baba anampenda mtoto (kama ulivyosema wewe) akiwa anamheshimu na kufanya anayotaka.

Mama anampenda mtoto no matter what. Mama yetu alikuwa hataki mtu yeyote aongelee negatively kuhusu kaka yetu baada ya kaka kupoteza mwelekeo; alikuwa anaumia sana tukiendelea kupigilia msumari hence tukiwa na mama tuliepuka kumwongelea vibaya kaka yetu.
nafahamu ni msemo tu
but huoni unatumika vibaya???

eti mapenzi kwa watoto wangu ni 'unconditional' while actually hakuna kitu kama hiko...
 

Maty,

Hilo swali siwezi kujibu hata nikijidai kwamba nimelielewa....Kuridhika na watoto wangu ndo nini??? Nilisema huko nyuma kwamba nikipata nafasi siku moja nitajaribu kufafanua tofauti kati ya upendo kwa mke na ule upendo kwa mtoto......Ila babu yangu mzaa bibi alikuwa anasema kwamba...hakuna upendo kwa mke kama hakuna tendo la ndoa....Nitajaribu kuwauliza wazee wenzangu wanifafanulie zaidi...

Hata hivyo watoto tunawapenda sana na si kwa sababu wana kitu cha kutoa, bali kwa sababu mtu anahisi ni kama amewachomoa kutoka kwenye sehemu mojawapo ya mwili wake...Ndio maana wengi wetu tunakubali hali, na kuelea watoto wetu wote bila kuchunguza chunguza kama tumepigwa changa la macho au la (no DNA test!!)!!

Suala la kucheat ni jambo jingine kabisa...Halina uhusiano wowote na upendo! Kwa maoni yangu, infii ni uchizi na usanii tu!
 

kwa hiyo wamama ndio wenye 'uncondional love' kwa watoto?
je na wamama wanaofukuza watoto 'wakiharibikiwa' ??
 


Na wamama wengi ndivyo walivyo ukitaka gombana nae basi mseme mtoto wake hasa wa kiume mwenye tabia mbaya hapo hapo mnakosana. Hata kama mtoto ni mvuta bangi na inajulikana hakyanani anaweza kukwambia kalogwa mwe!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…