Labda weye utaweza nipa matumaini........... hawa kina Nyumba Kubwa, Lizzy, Blaki Woman and co wamenimaliza kabisa aisee! Kumbe ningekuwa sijaoa ningeoa mgumba! lol (Mungu pitisha mbali, just kidding)
Kwanza nikupe pole kwa sababu mimi ndo nataka nikumaliza mazima...
Mapenzi ya Mama kwa mtoto ni bond inayoanzia mbali sana...
Kuanzia mama anakamata ujauzito... mimba inakua, wanashea blood, heartbeat, hata emotions... kumbuka all this time mama anakuwa ana-communicate na mtoto kwa njia mbali mbali... (hapo worry ya mama inakuwa "Eeh Mungu, sijui nimebeba kiumbe gani tumboni"
Mtoto anazaliwa, very innocent and vulnerable... anahitaji protection na love (ambayo inaongezeka yenyewe with every moment unapomuona)
Akilia kidogo, unasikia uchungu mwingine wa kuzaa japo huna mimba, mtoto akiwa mchanga akalia mama anatamani kufa maana hajui ni nini kinamliza...
Then mama anapata worry nyingine, sijui ataona... sijui atasikia.... sijui atatembea.... Eeh Mungu msaidie mwanangu...
anapozidi kukua, hata mama akimchapa, anarudi tena kwa mama ambembeleze... kwa sababu kwa mtoto ni 2nd God, ndo tegemeo lake pekee
mama siku zote anaona kwamba bado huyo mtoto anahitaji protection, mama anaona kwamba ingawa amekuwa lakini anaweza kudhurika...
Sasa babu, bond ya mama na mtoto ni kubwa sana anaijua Mungu pekee... May be we are over protective... lakini wewe kama mume, kwanza ni jibaba lakini kwa mama yako bado atakuuliza "umekula mwanangu" tena mbele ya Mama Matesha... Mbona unakonda, inaonekana huli vizuri...
Mapenzi ya mume (
ambaye sina..lol) ni tofauti... mtoto ni faraja sana..., they are angels...
Huo ni mtazamo wangu tu