Mdahalo kesho star tv

Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick
....imekaa vizuri, wasimchukue tu huyo Ngeleja, tuone
 
sijuwi wanataka ku-achieve kitu gani maana Lissu ni mwanasheria aliyebobea na Mnyaa ni engineer, labda ni masuala ya Muungano.....log sipati picha!
 
Nadhani kuna mpango wa kumchosha Lissu bure hapa,Mnyaa na Lissu?i 'm puzzled!
 
Kesho kuanzia saa 1:00 jioni star tv itarusha mdahalo kati ya Eng Habib Mnyaa (CUF) na Mh Tundu Lissu (CHADEMA). Utakao ongozwa na Vox Media chini ya Rose Mwakitwange mahali: MovenPick

ningekuwa kiongoz/ mwanachama cdm ningeshauri jembe Lissu asiende kwenye huo mdahalo 1). Cuf sio mpnzan wa cdm hvyo basi watakata kujsafsha kwaj watanzania. 2).watabez kwenye muungano and thus lissu atakapowapa ukweli watasema ni adui wa muungano na hvyo kuhihusisha cdm moja kwa moja na hvyo kupelekea kupoteza mvuto kwa wananchi.
 
Wazee wa Dar-es-Salaam wamekukosea nini? Mijitu yenye udini na ubaguzi utayajua tu you have issues dude get a life!!!

Wenzetu hawa wa kushoto hiyo ndio shida yao udini na ubaguzi kila mahali kuanzia kwa baba yao nyerere..lol
 
Kama saa 11 sawa ila kama ni saa 1 usiku ntakuwa bize na kumuangalia Torres against his former club (Chelsea vs Liverpool)
 
Naona wengi mnamu-under estimate Habib Mnyaa.Subirini shughuli yake kesho ndo mtajua kuwa wazenji wanajua kuchonga
 
Back
Top Bottom