Mdada, weka sifa kuu ya mume umtakae


Ngoja kwanza nikue nikitimiza miaka 25 nitakujibu ,maan bado sijapoa kihasira yaan
 
AWE NA AKILI...namaanisha kichwa chake kiwe kinachemka vizuri,yaani nikikaa naye nusu saa tu niwe na cha kujifunza kutoka kwake.
Huyo ndio mwanaume nimtakaye!
 
Kama umenielewa nimesema hatuwezi tukafanana tunavyohitaji hivyo nikikwambia ninachotaka mimi huenda uliyenaye au utakayempata asiwe anahitaji hivyo.

Jitahidi tu kumsoma uliyenaye nina imani hutopata shida ya kujua nini anataka.
Nimependa hekima yako ya ujibuji maswali,barikiwa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…