Mdada wa usafi kazini...!!!!

Huyo ni muwazi na mkweli
Kwani umeoa:what:

Kama bado unasubiri nini kajileta mwenyewe:what::rolleyes:

Kama usha oa,
Huyo mfanye nyumba ndogo!!
Yee si anataka!;);):rolleyes:

nimeoa mkuu,unadhani nitanufaika na nini kwenye hiyo nyumba ndogo?
 
kozo okamoto hapo ndg yangu kuwa makini sana. Samahani nisieleweke vibaya, hata hiyo huduma yake ya kukununulia chakula anza kujihami nayo kwani anaweza hata kukuwekea limbwata ukajikuta unafall bila kupenda na ukaharibu upande wa familia yako (ndoa yako km umeoa)...pia hwez kujua ameshawaambia wanaume wangapi hiyo script yake ya kutaka msaada na kutoa kampani maana duh, ana guts za hatari sana....kuwa makini kaka yangu....

Hahaha, kwa hiyo amnyanyapae na kumtuma chakula aache kabisa, mi naona itakuwa si poa! Huwa siamini kabisa katika limbwata, au labda mimi nina damu ya kunguni madawa ya kienyeji hayafanyi kazii? Niliwahi kuishi na dada fulani mluguru, dada yule alikuwa mshirikina balaa, yaani akipata parcel kutoka kwao lazima kuwe na vijitunguri, ni zaidi ya mara mbili nilishawahi kukuta mambo kwenye bahasha, mbaya zaidi mpaka maelezo ya kutumi adawa zenyewe yameandikwa kwa kila dosage, kwa hiyo nikimtight na kumhoji anakuwa hana la kusema anatoa vimacho tu, dada mwenyewe mrembo educated huwezi hata kumdhania, hizo mambo naona hazikuweza kitu kwangu, sikuwa nikifurahia sex kwake kabisaa zaidi ya kuenjoy kumwona akiwa amependeza kama pambo tu, sikuwa na msisimko naye kabisa kitu kilichopelekea niwe natoka na wadada wengine kutafuta furaha ya mapenzi! Kaka kozo okamoto nakushauri usimtenge bana huyo dogo, muincourage tu aondoe wazo la "mtu wa kumhudumi" achape kazi na ajiheshimu sana atashangaa atapata mtu wa kumpenda kwa dhati kuliko kutamani mume wa mtu, unamwelimisha na madhara yake, ataelewa tu mkuu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom