Mdada wa usafi kazini...!!!!

Mdada wa usafi kazini...!!!!

Hahaha, kwa hiyo amnyanyapae na kumtuma chakula aache kabisa, mi naona itakuwa si poa! Huwa siamini kabisa katika limbwata, au labda mimi nina damu ya kunguni madawa ya kienyeji hayafanyi kazii? Niliwahi kuishi na dada fulani mluguru, dada yule alikuwa mshirikina balaa, yaani akipata parcel kutoka kwao lazima kuwe na vijitunguri, ni zaidi ya mara mbili nilishawahi kukuta mambo kwenye bahasha, mbaya zaidi mpaka maelezo ya kutumi adawa zenyewe yameandikwa kwa kila dosage, kwa hiyo nikimtight na kumhoji anakuwa hana la kusema anatoa vimacho tu, dada mwenyewe mrembo educated huwezi hata kumdhania, hizo mambo naona hazikuweza kitu kwangu, sikuwa nikifurahia sex kwake kabisaa zaidi ya kuenjoy kumwona akiwa amependeza kama pambo tu, sikuwa na msisimko naye kabisa kitu kilichopelekea niwe natoka na wadada wengine kutafuta furaha ya mapenzi! Kaka kozo okamoto nakushauri usimtenge bana huyo dogo, muincourage tu aondoe wazo la "mtu wa kumhudumi" achape kazi na ajiheshimu sana atashangaa atapata mtu wa kumpenda kwa dhati kuliko kutamani mume wa mtu, unamwelimisha na madhara yake, ataelewa tu mkuu!

nimekuelewa mkuu,n'way hilo limbwata la dada wa kiruguru ina maana kazi yake kubwa ilikuwa ni kukupooza badala ya kukuchochea umpende?
 
hapana kaka, sio namaanisha amtenge au kumyanyapaa, la hasha! nilichomaanisha ni kuwa awe mwangalifi tu maana hawa wadada wa mjini ni mtihani sana, hawatabiriki aisee! mtu anachukuliwa mumewe mchana kweupeeee watu wanabeba....wakija kushtuka, hee damage is already done! so awe makini naye tu..
Hahaha, kwa hiyo amnyanyapae na kumtuma chakula aache kabisa, mi naona itakuwa si poa! Huwa siamini kabisa katika limbwata, au labda mimi nina damu ya kunguni madawa ya kienyeji hayafanyi kazii? Niliwahi kuishi na dada fulani mluguru, dada yule alikuwa mshirikina balaa, yaani akipata parcel kutoka kwao lazima kuwe na vijitunguri, ni zaidi ya mara mbili nilishawahi kukuta mambo kwenye bahasha, mbaya zaidi mpaka maelezo ya kutumi adawa zenyewe yameandikwa kwa kila dosage, kwa hiyo nikimtight na kumhoji anakuwa hana la kusema anatoa vimacho tu, dada mwenyewe mrembo educated huwezi hata kumdhania, hizo mambo naona hazikuweza kitu kwangu, sikuwa nikifurahia sex kwake kabisaa zaidi ya kuenjoy kumwona akiwa amependeza kama pambo tu, sikuwa na msisimko naye kabisa kitu kilichopelekea niwe natoka na wadada wengine kutafuta furaha ya mapenzi! Kaka kozo okamoto nakushauri usimtenge bana huyo dogo, muincourage tu aondoe wazo la "mtu wa kumhudumi" achape kazi na ajiheshimu sana atashangaa atapata mtu wa kumpenda kwa dhati kuliko kutamani mume wa mtu, unamwelimisha na madhara yake, ataelewa tu mkuu!
 
Ah Kozo siku nyingine usinge jibu hivyo.hapo umemzalilisha sana sidhani kama kweli atakuletea shida zake tena. Ungemwambia sawa nikikuhitaji nitaomba kampani yako.halafu unakuwa humhitaji moja kwa moja . Ila akikuomba vimatumizi vidogo vidogo unampa kama unavyo. Japo pia hivyo vimatumizi vidogo vidogo sijajua ni bei gani.nasema hivyo kwa sababu lazima atakuzushia tu kwamba wewe huwa unampiga .iKumbuka huyo utakuwa naye hapo kwa offis kwa muda mrefu sana labda kama mmoja wenu yupo hapo kwa ajira ya muda.kwa kuwa wewe umemzalilisha lazima na wewe atakuja kukudharirisha. Halafu huo ujasili wa huyo demu ni wa kichaga. Je ni mchaga wa wapi
 
Ah Kozo siku nyingine usinge jibu hivyo.hapo umemzalilisha sana sidhani kama kweli atakuletea shida zake tena. Ungemwambia sawa nikikuhitaji nitaomba kampani yako.halafu unakuwa humhitaji moja kwa moja . Ila akikuomba vimatumizi vidogo vidogo unampa kama unavyo. Japo pia hivyo vimatumizi vidogo vidogo sijajua ni bei gani.nasema hivyo kwa sababu lazima atakuzushia tu kwamba wewe huwa unampiga .iKumbuka huyo utakuwa naye hapo kwa offis kwa muda mrefu sana labda kama mmoja wenu yupo hapo kwa ajira ya muda.kwa kuwa wewe umemzalilisha lazima na wewe atakuja kukudharirisha.
Halafu huo ujasili wa huyo demu ni wa kichaga. Je ni mchaga wa wapi


miss chagga,njoo usikie hii habari....naona umachame unataka kuingia hapa...
 
hapana kaka, sio namaanisha amtenge au kumyanyapaa, la hasha! nilichomaanisha ni kuwa awe mwangalifi tu maana hawa wadada wa mjini ni mtihani sana, hawatabiriki aisee! mtu anachukuliwa mumewe mchana kweupeeee watu wanabeba....wakija kushtuka, hee damage is already done! so awe makini naye tu..

mpe somo wangu
 
ngoja ukute katumwa na mkeo kukuchunguza

aisee na wewe pia umenipa bonge la akili though sizani kama kitu kama hicho kinawezekana coz waifu na kazini kwangu hakuna mawasiliano ya karibu kabisa
 
Back
Top Bottom