Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Uongo mwingine huu...Elisia hakuwa kicheche ata kidogo, mtoto wa watu ni mtulivu balaa hana tamaa....Unajua kuwa shuleni salum mdogo wa merei alishatoa hadi cresta mtoto akachomoa....Kuna shetani tu kamuingia sio elisia tunaomjua sisi ambaye ata matusi hakuyajua.
Mkuu watu hubadilika asee hasa wakikutana na bad friends. Kwa aina ya mwanawake aliyekuwa anaongea background kwenye ile clip ni dhahiri ana kampani ya magumegume.
 
Inaonekana unamjua sana Elisia!!unavyomtetea!!!!!ila just know si kila kitu unaweza kujua kuhusu Elisia, mifano mingi unayotoa sijui mmdogo wake merei alitaka kuhonga cresta cjui nini... nazo zaweza kuwa uzushi tu na stori za long time sana. current behavioor yake huijui na nadhani ndo mana hata we unashangaa shetani gani kamuingia. stop defending her, yeye km anadhani anahaki kwa alichokifanya atajitokeza ajiteteee hata kama ni miaka mingi ijayo au pengine akae kimya tu aache watu wajadili. Sivema kumhukumu,ila hatuwezi kuzuia maneno na maoni ya watu kwa kile alichofanya Elisia hata kama utauita uzushi kama ulivyodai!! kama uko karibu naye huu ndo wakati wa kumfariji!! wanaomjua muda mfupi kabla yakuolewa ndo wanaweza walau kusema ni watabia gani!!au mashosti zake waliokuwa naye pale Ubungo Tanesco kabla hajahamia Arusha!!

Sio suala la kumjua sana au vp....nilikuwa najaribu kuweka kumbukumbu sawa haswa kwa huyo aliesema "anasikia" alikuwa malaya sana, kitu ambacho nimeonyesha sio kweli watu wanatengeneza maneno instagram waongeze followers.

Ata hivyo wote mnaonyesha the bad side of her na huku hamumjui, vipi nakuwa nakosea nikionyesha mazuri yake mengi.
 
Hata mm namshangaa sana jamaa...kakomaa na kumtetea sijui ndo kwa vile anamtaka kijanja??????

Wanakwambia tabia iliojaza moyo wa mtu hidhihirika akiwa na hasira....
Wewe mtu amekua na mashoga kama wale manunda bado unamtetea???
 
Simtetei namuelezea jinsi navyomsoma, we humjui ila unamjaji as if unamjua kiundani.
 
Akina dada dawa ya kuzuwia michepuko kwa waumezenu mnazo wenyewe msiwanyime muwape waumezenu TIGO.

Ushauri mbaya na wakipumbavu..
Hayo mavitu watatoa na nje mtaendelea kwenda tuu..
Zamani mlianza oooh mpaka binti akupe tunda ndo ujue anakupenda,sahivi mmehamia kwenye matope....soon sijui mtahamia wapi???sijui puani???

Women msidanganyike,sio tigo sio viuno vitakavyomlinda mumeo,
Pamoja na mahaba mazuri kumbuka kusugua goti chini mkabidhi Mungu vita yako..
 
Duuuh Evelyn Salt.. Msamiati huo lol..

NB: Anaetaka video ya kunyolewa huyo binti na picha zake huyo kinyozi huku akipigwa na bapa la upanga ani-pm.. Nitamtumia kwa Whtsapp..

ha ha ha tatizo vid yenyewe imeishia kati tungeoneshwa anavokalia chupa lol...ili tuone ugumu wa hiyo adhabu na tuogope!!!
 
Last edited by a moderator:
Sio suala la kumjua sana au vp....nilikuwa najaribu kuweka kumbukumbu sawa haswa kwa huyo aliesema "anasikia" alikuwa malaya sana, kitu ambacho nimeonyesha sio kweli watu wanatengeneza maneno instagram waongeze followers.

Ata hivyo wote mnaonyesha the bad side of her na huku hamumjui, vipi nakuwa nakosea nikionyesha mazuri yake mengi.

A single foolish act can erase the thousands deeds.
 
Duuuh Evelyn Salt.. Msamiati huo lol..

NB: Anaetaka video ya kunyolewa huyo binti na picha zake huyo kinyozi huku akipigwa na bapa la upanga ani-pm.. Nitamtumia kwa Whtsapp..

mmmmmh.....huu ukarimu.....aya wenye shida msamalia mwema kajitokeza.......
 
Last edited by a moderator:
We dada nimekuona kwenye clip whatsap ukinyoa mchepuko wa mumeo kwa kisu huku ukitaka kumshindilia na chupa.

Popote ulipo nakutafuta, mrembo kama wewe mumeo hastahili kukutenda hivyo mpk umebadilika kuwa shetani na hali ulikuwa malaika.

Ni pm tuyajenge.

Ama kweli mbaya wa mwanamke ni mwanmke mwenyewe.....hivi kweli ujasili na uthubutu wa kumfanyai hivyo mwana wa mwenzio unautoa wapi??
Inatukumbusha machungu ya mwezi uliopita ya yule jamaa wa kule Kiwalani aliyeliwa mtaro/ marinda na wanaojiita vidume , ila mwisho wa siku aibu yao na sasa wananyea ndoo.
 
Attachments

  • nyoa.jpg
    nyoa.jpg
    11 KB · Views: 80
  • nyoa2.jpg
    nyoa2.jpg
    10 KB · Views: 82
  • nyoa3.jpg
    nyoa3.jpg
    9.4 KB · Views: 82
  • nyoa4.jpg
    nyoa4.jpg
    9.8 KB · Views: 82
Pole yake na kama kaolewa na kitombi atawanyoa wengi ila na yeye asubiri kuja kunyolewa maana wanaume hawaaminiki tena hapo ndio kachochea penzi
 
ha ha ha tatizo vid yenyewe imeishia kati tungeoneshwa anavokalia chupa lol...ili tuone ugumu wa hiyo adhabu na tuogope!!!

Yule binti mwenyewe muoga Evelyn Salt.. Ati anampiga na ubapa wa panga begani kwa mkwala.. Kwa hiyo hata kurikodi walikuwa wanarikodi kiuoga.. Sina uhakika kama tendo la kukalia chupa lilitekelezwa..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom