Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

We dada nimekuona kwenye clip whatsap ukinyoa mchepuko wa mumeo kwa kisu huku ukitaka kumshindilia na chupa.

Popote ulipo nakutafuta, mrembo kama wewe mumeo hastahili kukutenda hivyo mpk umebadilika kuwa shetani na hali ulikuwa malaika.

Ni pm tuyajenge.

Hii stori nimeisikiaga, nani anayo video apload basi !!!!!
 
Mi naona poa tu bora afanye hivo mtu wa mbali atasingizia mme alimdanganya hajaoa
ila shost aaah angemnyoa hadi voooz na chupa akalie tu!!!!
matumbo huyo mdada facebook ndo atapata ujumbe wako kirahisi kamuachie pale
 
Last edited by a moderator:
Natamani niione ili nielewe zaidi apa kinachoongelewa.
 
kuchukuliwa Mume kunauma lakini hajatumia hekima, kwani vita vyetu sisi si vya damu na nyama, ni vya ulimwengu wa roho, naamini angemshirikisha Mungu, angepata adhabu inayostahili, Mungu na ampe Neema ya kutambua mema na mabaya.
 
Inasemekana yashamkuta ya ulimwengu!!Pole yake!!
 
Attachments

  • IMG-20141118-WA0010.jpg
    IMG-20141118-WA0010.jpg
    52.3 KB · Views: 714
kuchukuliwa Mume kunauma lakini hajatumia hekima, kwani vita vyetu sisi si vya damu na nyama, ni vya ulimwengu wa roho, naamini angemshirikisha Mungu, angepata adhabu inayostahili, Mungu na ampe Neema ya kutambua mema na mabaya.

kweli nimebahatika kupata ujumbe wa faraja toka kwako.next tym yakinipata nimejua MAOMBI NI KILA KTU
 
Siku zote tunashauriwa kutafakari kabla ya kufanya maamuzi.Hata kama umeumizwa kiasi gani,ni vizuri ukafanya maamuzi ambayo hayatakugharimu
 
what goes around comes around alietoa huu msemo aliona mengi inasemekana huyo dada anaitwa Elisia Gama wakati yuko morogoro alikuwa anaishi na DADA YAKE KABISA akawa anatembea na MUME WA DADA YAKE KABISA sasa hapo mshenzi ni nani pili kaika wale mashoga zake waliokwenda kunywa mwenzao nywele anatembea na mume wa Elisia, kwahiyo mwenye tatizo hapo ni huyo dada ajiangalie mara mbili mbili kabla hajawakuhumu wagoni wake na amkalishe mume wake pia wayazungumze atahangaika na wa wanawe wenziee wee kwenda kuwanyoa nywele wakati mume ni kiwembe na siajabu anavyo tongoza anamkana kuwa hana mke

Uongo mwingine huu...Elisia hakuwa kicheche ata kidogo, mtoto wa watu ni mtulivu balaa hana tamaa....Unajua kuwa shuleni salum mdogo wa merei alishatoa hadi cresta mtoto akachomoa....Kuna shetani tu kamuingia sio elisia tunaomjua sisi ambaye ata matusi hakuyajua.
 
Mkuu hyo elisia ndo aliyenyolewa au mnyoaji?
 
siku zote wanawake wanafanya maamuzi wanayoshauriwa na mashoga pasi kujua hao mashoga wenyewe ndoa zao zimeshawashinda, zinapumulia mashine, sasa huyo alimsaidia kurekodi ye yuko pembeni kabisa. kweli Mwanamke Mpumbavu Hubomoa nyumba kwa mikono yake mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom