Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Mi naona poa tu bora afanye hivo mtu wa mbali atasingizia mme alimdanganya hajaoa
ila shost aaah angemnyoa hadi voooz na chupa akalie tu!!!!
matumbo huyo mdada facebook ndo atapata ujumbe wako kirahisi kamuachie pale

mpaka anachukua maamuzi kama yale lazima kuna jambo, unajua kuna wanawake wanachukua waume za watu kwa utaalamu wa vibabu we utapiga kelele na mmeo unajisumbua tu.
 
Last edited by a moderator:
Uongo mwingine huu...Elisia hakuwa kicheche ata kidogo, mtoto wa watu ni mtulivu balaa hana tamaa....Unajua kuwa shuleni salum mdogo wa merei alishatoa hadi cresta mtoto akachomoa....Kuna shetani tu kamuingia sio elisia tunaomjua sisi ambaye ata matusi hakuyajua.

Sasa unachokataaa ni kipi mkuu??????
Hata vitabu vya dini vinasema wazi ayatamkayo mtu ndio yameujaza moyo wake.....
Kama matusi hakuyajua kipindi hicho ujue muda wake ulikua bado..
Ila hiii tabia ndio ilikua tabia yake sema muda wa kukomaa ndio ulikua bado tu.
 
Mi naona poa tu bora afanye hivo mtu wa mbali atasingizia mme alimdanganya hajaoa
ila shost aaah angemnyoa hadi voooz na chupa akalie tu!!!!
matumbo huyo mdada facebook ndo atapata ujumbe wako kirahisi kamuachie pale

Duuuh Evelyn Salt.. Msamiati huo lol..

NB: Anaetaka video ya kunyolewa huyo binti na picha zake huyo kinyozi huku akipigwa na bapa la upanga ani-pm.. Nitamtumia kwa Whtsapp..
 
Last edited by a moderator:
Sasa unachokataaa ni kipi mkuu??????
Hata vitabu vya dini vinasema wazi ayatamkayo mtu ndio yameujaza moyo wake.....
Kama matusi hakuyajua kipindi hicho ujue muda wake ulikua bado..
Ila hiii tabia ndio ilikua tabia yake sema muda wa kukomaa ndio ulikua bado tu.

Hapana huyu mtoto atakuwa ameteswa. sana na mahusiano amemcontrol mumewe kashindwa kaona bora ajaribu na mwibaji....na mumewe atakuwa ni wale wanaume wa hovyo hovyo wasiothamini wake zao, ngoja nione kama inawezekana kuwa fursa hii.
 
Anataka kuwa kinyozi wa taifa ....mashoga wa mjini wabaya kumrekodi mwenzao na wao hawajatokea.... Enzi zake anasoma ifm alikua mpole hutomdhania ndo huyu
Ahaaaa.....una maana ni mwanamke mwenye dira kiasi hiki? Mie nlidhani ni dizaini ya wadada wa salon hivi.
 
Kuna wanawake wengine wana shida sana

Unafanya vituko kama hivy huku anakubali kurekodiwa

Kwanza mwenyewe anaonekana adabu imepita pembeni kwa maneno yake anayoongea hata kama kaibiwa mme lah sasa clip inasambaakila kona

Baada ya ile clip kusambaa atakuwa ameshajifunza.
 
Ahaaaa.....una maana ni mwanamke mwenye dira kiasi hiki? Mie nlidhani ni dizaini ya wadada wa salon hivi.

Huyo dada anapewa kila hukumu...ila ni tofauti na wanavyomjaji.
 
Anataka kuwa kinyozi wa taifa ....mashoga wa mjini wabaya kumrekodi mwenzao na wao hawajatokea.... Enzi zake anasoma ifm alikua mpole hutomdhania ndo huyu

Ndio maana huwa sitaki mashoga kabisaa maana najua tabia zetu wanawake na unaweza kukuta kati ya hao mashoga zake alikuwa anajua deal zima kuwa shemeji yao anapiga nje na wakanyamaza.By the way mume anauma ila huyo bidada kaenda extra miles kwa hiyo punishment aliyoitoa
 
Acha story za saloon...uzushi huu

Inaonekana unamjua sana Elisia!!unavyomtetea!!!!!ila just know si kila kitu unaweza kujua kuhusu Elisia, mifano mingi unayotoa sijui mmdogo wake merei alitaka kuhonga cresta cjui nini... nazo zaweza kuwa uzushi tu na stori za long time sana. current behavioor yake huijui na nadhani ndo mana hata we unashangaa shetani gani kamuingia. stop defending her, yeye km anadhani anahaki kwa alichokifanya atajitokeza ajiteteee hata kama ni miaka mingi ijayo au pengine akae kimya tu aache watu wajadili. Sivema kumhukumu,ila hatuwezi kuzuia maneno na maoni ya watu kwa kile alichofanya Elisia hata kama utauita uzushi kama ulivyodai!! kama uko karibu naye huu ndo wakati wa kumfariji!! wanaomjua muda mfupi kabla yakuolewa ndo wanaweza walau kusema ni watabia gani!!au mashosti zake waliokuwa naye pale Ubungo Tanesco kabla hajahamia Arusha!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom