Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

Acheni kumponda.safi Sana..ndo iwe fundisho kwa michepuko.mi sipendi mtu unatembea na mume wa rafiki yako kweli??u deserve to die kwa kweli
 
atanyoa wangapi hiyo ndio shida ya kukosa kazi za kufanya wangekaa na mumeo waulizane sio kumfedhehesha mwanamke mwezako namna hiyo..
 
yule dada ni mshenzi kuliko mume wake


badala adili na source ana deal na effect inaelwkea mkaidi hata kwa mumewe na MUME WAKE ATAENDELEA KUTOKA SANA

Hapo nimepapenda kinyama!

Ni ke wachache wenye kauelewa hako.

Embu nitafute nikupe jawadi jako.
 
jamani yule mwizi mshenzi mshenzi mshenzi na mume mshenziiiiiii
wanakaa nyumba moja anamfanya km ndugu yake
anamfadhili kwa yote
leo amchukulie mumewe kweli
inaumiza,jamani bora niibiwe na wambali kuliko mtu nnae mpa kula na kunya

yule dada wanakaa nyumba moja??
 
what goes around comes around alietoa huu msemo aliona mengi inasemekana huyo dada anaitwa Elisia Gama wakati yuko morogoro alikuwa anaishi na DADA YAKE KABISA akawa anatembea na MUME WA DADA YAKE KABISA sasa hapo mshenzi ni nani pili kaika wale mashoga zake waliokwenda kunywa mwenzao nywele anatembea na mume wa Elisia, kwahiyo mwenye tatizo hapo ni huyo dada ajiangalie mara mbili mbili kabla hajawakuhumu wagoni wake na amkalishe mume wake pia wayazungumze atahangaika na wa wanawe wenziee wee kwenda kuwanyoa nywele wakati mume ni kiwembe na siajabu anavyo tongoza anamkana kuwa hana mke
jamani yule mwizi mshenzi mshenzi mshenzi na mume mshenziiiiiii
wanakaa nyumba moja anamfanya km ndugu yake
anamfadhili kwa yote
leo amchukulie mumewe kweli
inaumiza,jamani bora niibiwe na wambali kuliko mtu nnae mpa kula na kunya
 
Mwanamke mpumbavu ataivunja ndoa yake kwa mikono yake

mshenzi wa tabia yule binti
ajafunzwa vizuri na kama kavunzwa ni hivi vitchen part vya mashangingi wenzie

mume akichepuka kufata K nje tafuta maufundi na solution why imekua hivyo
maana kama tatizo litaendelea kuwepo ataendelea kua na msururu wa mabinti wampe utamu
mwanamke UTUNDU
sio UBABE
 
Aisee kuna warembo wanakumbwa na majanga halafu wanaonekana mala..ya, mfano demu arekodiwe na boyfriend wake wakifanya ngono, unakuta ndo boyfriend wake wa kwanza halafu video inavuja na kusambaa bongo yote unakuta jamii yote wanaanza kujaji ni mala. ya

Aisee wapo waliotulia ila wanakutana na nuksi.

Nuksi kweli kweli
 
Ukitaka kujua akili za wanawake wengi zinawatosha wenyewe ni ukiangalia video kama hiyo. Wengi wao wanawaadhibu wanawake wenzao na kuwaacha waume zao, wakifika Kwa waume zao wanakua wapole kama wanakata gogo tena wengine wanaomba hata samahani japo wao ndio wamekosewa
 
Ukitaka kujua akili za wanawake wengi zinawatosha wenyewe ni ukiangalia video kama hiyo. Wengi wao wanawaadhibu wanawake wenzao na kuwaacha waume zao, wakifika Kwa waume zao wanakua wapole kama wanakata gogo tena wengine wanaomba hata samahani japo wao ndio wamekosewa

Mkuu kwani ni wanawake tuu??? Mbona hata wanaume wwnafanya huo upumbavu???
Kwani ww hujasikia mtu kamfuma mgoni wa mkewe yeye na wapambe wake wakamla mgoni 0713???

Alichofanya huyoo Mdada ni upumbavu ambao unafanywa na wwpumbavu wa jinsia zote kwa kigezo eti mume/mke anauma,stupidity!!!!
 
Aisee acha tu halafu kicheche anaonekana mmoja.
Halafu nimekumiss usiwe kimya kivile

Majukumu tu Viol nasahau ka kuna jeiefuuu nimekumiss pia... Afya yako??
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom