Ht mm cshabikii uchepukaj ila tunapaswa kujiuliza ndo njia sahihi yakumzuia mume au mke kuchepuka na idadi husika ya aliokuwa nao unaijua mbona nikujidhalilisha mm nilishashuhudia mwanamke kamfumania mume alivyomaliza vurugu zake mme akamtwanga talaka mchepuko akaolewa tubadilike dawa yk ni kuyapa macho na kumuomba mungu tu zaid kuongeza upendo mpk mtu anajistukia na kurud njia kuu.
Wajameni hii habari nimeiona toka jana hapa JF.
Lakini binafsi sijaiona hiyo video.
Wapi inapatikana. NAshindwa hata kutoa comments zangu kwa hili.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
yule dada ni mshenzi kuliko mume wake
badala adili na source ana deal na effect inaelwkea mkaidi hata kwa mumewe na MUME WAKE ATAENDELEA KUTOKA SANA
hahah huyu mwanaume nae alikuwa korofi
Huyo dada angejiuliza ni kwa nini mumewe kamuacha kamfuata huyo dada.
Unataka hadi ile aliyokalia chupa?Me sijaona, napata wapi??
Wajameni hii habari nimeiona toka jana hapa JF.
Lakini binafsi sijaiona hiyo video.
Wapi inapatikana. NAshindwa hata kutoa comments zangu kwa hili.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Aisee kuna warembo wanakumbwa na majanga halafu wanaonekana mala..ya, mfano demu arekodiwe na boyfriend wake wakifanya ngono, unakuta ndo boyfriend wake wa kwanza halafu video inavuja na kusambaa bongo yote unakuta jamii yote wanaanza kujaji ni mala. ya
Aisee wapo waliotulia ila wanakutana na nuksi.
Karma is a bitch
Katika wadada wajinga yule ni number moja.Kitendo kile kwanza ni cha kikatili sana halafu mie naona kajidhalilisha sana
Safi sana madada....
Natumaini baada ya kumnyoa mchepuko ulienda kumalizia na kumnyoa mumeo??? Rusha clip tafwazali