Na mwanaume aadhibiweje kwa usaliti?Wanyolewe tu. Kama huwezi kukiweka home utanyolewa tu. Nasema tena chupa ziwanyoe hadi mkome umalaya..!
Ukijua utafanyaje mdada?aiseee eeh mola niepushe na hili yaani mi bora azini hukooo na simjui hunjiui kuliko mtu ninaemjua yaani inaumiza sana
inabidi afungue saluni kabisa maana kama mumewe kiwembe atanyoa wengi.
Ipo YouTube ,search anyolewa nywele kwa kisu!?
naoa uhayani hapa hapa dar naomba nitafutie mshengaha ha ha ha..nimeiona...kwa hiyo wamenasa mawasiliano ya simu na kumuwahi kabla ya appointment ya kwenda kutiwa na mume wa mtu...job tru true...ha ha ha...wanamwambia chupa nayo ina same function ya alichokuwa anaenda kufanta kesho...aikalie...wadada wamedata haswaaa...
Michepuko muwe mnafanya kautafiti kabla ya kuwakubalia hao wanaume...mbona wapo wengi wenye wake wapole jameni....
ha ha ha ha..nimeiona...kwa hiyo wamenasa mawasiliano ya simu na kumuwahi kabla ya appointment ya kwenda kutiwa na mume wa mtu...job tru true...ha ha ha...wanamwambia chupa nayo ina same function ya alichokuwa anaenda kufata kesho yake kwa mume wa mtu...aikalie...wadada wamedata haswaaa...
Michepuko muwe mnafanya kautafiti kabla ya kuwakubalia hao wanaume...mbona wapo wanaume kibao wenye wake wapole jameni....
Kuna wanawake vichaa...mtakalishwa kwenye chupa zilizopakwa pili pili...
naoa uhayani hapa hapa dar naomba nitafutie mshenga
Bibi mwenzangu shikamooo!!!!!!!!
Na mwanaume aadhibiweje kwa usaliti?
Na ukimkomesha mwanaume ndio umeng'oa mzizi kabisaaa.
Kuna watu ni washenga professional...ngoja nijaribu kukumbuka majina nitaku PM...nikisema professional sina maana wanafanya biashara, ila wanapenda hiyo kazi na wanaiweza...
Nae anyolewe kwa chupa. Watu wamezidi umalaya hadi kero. Kwani wskitulia na wake zao
Hahahaha bado bado kama miezi kadhaa,nine data na hilo kabila duh
Kibaya zaidi huyo binti nae ni mke wa mtu anaenyolewa
kAFUKUZWA KAZI HUYO kingkong na mashtaka kafunguliwa ndo mpya. follow TEAMukwelinauwazi insta huko ndo kuna mkanda kamili wa muendeezo.Kanaitwa Elisa kumbe. AFU MUME KAMCHUKUA KIMADA KAENDA KUMNUNULIA LACE WIG, MPO HAPO WAKE ZA WATU? Hahahaaaaaaaaaaaaa! NICHEKE NINENEPE MIE! Waambiwa kasema amuogopa huyo Kingkong kama Ebolaaaa! KIMADA KASHIKA HATAMU SAHIVI BIBIE ANANGOJA KARANDINGA TU! Simba mkali na vyake vinaliwa vile vile itakuwa bi Elisa! MAMBO KAMILI UKWELI NA UWAZI. Kama huna Insta UTAJI JJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJJ!