Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Kwani hao machizi hawawezi kupewa mimba na machizi wenzao? una uhakika gani kua wamepewa mimba na watu timamu?

Mtu mwenye akili ya utimamu hawezi kulala na chizi.
Research zinasema ni watu timamu kabisa wengi wao na kufumwa.juu.Machizi wa kiume kwanza muda huo hawana ndo Mana wakawa machizi hao wa kike Mara nyingi Wana be raped
 
Haaa haaa hata umfanyeje mwisho wa siku unaamua kuwa Naye tu...na wewe why kumvamia mtu Kama haupo serious naye
Mimi sipo serious hata na mimi mwenyewe, seuze yeye

Nikiamua kuwa serious nitaona "logical non sequitur" logical fallacy katika kila kitu unachosema, na kuorodhesha contradictions zote kwenye Biblia, Quran na katiba zote za dunia, sifikiri kama utapenda.
 
Heloo,

Hope you are doing poaa. Leo Nina kaujumbe kadogo kwa rafiki zangu jinsia ya kike!

Ni hiv, :zama za kususa, kuzira sijui atanitafuta shost angu utachina. Miaka hii ukipata mtu anayesomeka tambaa Naye mbele kwa mbele kitaeleweka tu.

Haya Mambo eti nimemfuma na sms za mwanamke simtaki tena baradhuri yule mshenzyy weweee wapi nyonyo wapi titi utaganda. Wewe ongeeni kaka ataonyesha kujutia yatengenezeni mjenge mahusiano na safari ya maisha iendelee.

Ipo hivi hawa wenzetu kama hamjui wao kulala hata na chizi kwao ni sawa. Sasa wewe jiulize machizi jojina humo barabarani yamepewa mimba na nani? Ni hawa hawa.

Cha kufanya hapa ni kutulia na mtu wako it raining everywhere my dear young sister usichezee bahati uliyopata, hebu angalia single mother wanavyonyanyaswa kwenye maandiko ya humu JF na mtaani Maana mwisho wa siku umri utaenda utaamua kuzaa tu. Maana hakuna asiyependa kuitwa mama sasa itwa Mama ukiwa na Baba pembeni ndugu au Kanisa au msikiti viwatambue lakini yote yatawezekana mkijenga msingi mzuri wa mahusiano.

Kumetokea mtafaruku kidogo elewaneni songeni mbele, Mambo ya kuzira na kususa wenzio watamchukua na utaachwa hapo unashangaa maisha hayapo simple ivyo.

Ni mwendo wa kukomaaa!
Maua yake tafadhali sana umeandilka madini sana
 
Imagine umgande mwanaume ambae anatembea na machizi.
Akili ya wapi hii?
Ni mfano na sio wote wanaotembea na machizi lkn tunaona mtaani machizi wenye watoto zaidi ya mmoja na sura za wababa wa mtaani Duniani Kuna mengi dear Demi
 
Back
Top Bottom