Mdada, ukipata mpenzi Mgande

Naona masingo maza mnapeana upumbav, sasa mlivyo komaa hvyo mwanaume gani atawakubali... Nyie dangeni maisha yaende mfe
 
[emoji23][emoji23]

Watu wanataka kuwapeleka bebez zao USA huko we unakuja na habari za magurudumu, yasukume mwenyewe [emoji23]

Mwambie huyooo yeye anataka tupauke kusubiria atoboe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Atoboe maisha kwanza ndio aje kutafuta bebe wa kumsaidia kunyumbulisha pesaa [emoji2222][emoji2222]
 
Huna Hela unatabu zako namakasiriko Yako afu ghafula mtoto wa mamkwe nae kakuganda,,,,😎😎😎😎😎tupeane nafasi jamani daaa
 
Huna Hela unatabu zako namakasiriko Yako afu ghafula mtoto wa mamkwe nae kakuganda,,,,[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]tupeane nafasi jamani daaa
Ila mm nachokiona mtu akikuganda utakereka kama tu humpendi au nakosea? Kama unampenda huwez ona kama ni kero.
 
Mwambie huyooo yeye anataka tupauke kusubiria atoboe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Atoboe maisha kwanza ndio aje kutafuta bebe wa kumsaidia kunyumbulisha pesaa [emoji2222][emoji2222]
[emoji1787] noma sana.

Ndo mana kiranga aliamua kupiga kura kwa miguu kwenda kusukuma gurudumu lake halafu leo ndio kama hivi anatafuta wa kuteremsha nae gurudumu.
Nasema uongo brother Kiranga ?
[emoji1787][emoji1787]
 
Duuu! Dada safi sana, umewapa ujumbe mzuri. Sisi wanaume ni adimu sana
 
[emoji1787] noma sana.

Ndo mana kiranga aliamua kupiga kura kwa miguu kwenda kusukuma gurudumu lake halafu leo ndio kama hivi anatafuta wa kuteremsha nae gurudumu.
Nasema uongo brother Kiranga ?
[emoji1787][emoji1787]

Kabisa bro sisi tunaondoka na kiranga NYC [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mlongo nileka na lidoda langu leniliii, lina hela, koto kumkinilaa wengaaa, au ve ugani lepa tuhamba kwe ku marekano??uwaya kukwela mndege?? Apu hinu pe paunijovili niyeliwi he.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Haya mlongo wangu,nigana sanaaa kulota ku marekano......MGANDEEE
 
Na utachinaaaa uduguuuu wanguuuu, USA km mbeleeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], niwacheeeee eti Kiranga wee si boss kubwaa Una mahela km yoteee? Tena unisomeshee masters hapo Massachusetts.
Bora unakumbuka hata masters🤣🤣🤣🤣🤣
 
Harusiiii ya kitajiriiiiiii ninayooooooo [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]

Cute Wife uduguuuu niwacheeee, nataka kubehave ki ushuaa, c unajua mambelee hakuna uswaziii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]h
Yaani utateseka huko kunifanya wa kishua kama hujamiss ngwala na utumbo wa mama doi😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya mlongo wangu,nigana sanaaa kulota ku marekano......MGANDEEE
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo utama magendelu oa ndila, lauima tihambahi kwe ku marekano kwenuko.
 
Yaani utateseka huko kunifanya wa kishua kama hujamiss ngwala na utumbo wa mama doi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakuambiajee Kiranga bebee wangu pesa anazo, kila nikitaka miguu ya kuku na utumbo, napanda ndege nakuja huku uswekenii, nikichokaa napanda ndegee huyo Los Angeles.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…