Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

umeamua kujilipua, afadhali ndg yangu maana mficha .........hazai
 
Haya mapenzi ni kitu gani?-MB Dog
 
afu ujue kuanzisha uzi bila kuwasiliana na muhusika sio vizuri sijapenda kabisa umeniharibia siku yangu afu unazidi kunichefua

Kumbe kuanzisha uzi kwa ajili ya mwanajf lazima umpim??
 
Wewe bonge la kilaza.Unapenda jina kwani umewahi kumuona utaliwa kiboga hapa dar kuwa makini
 
Kumbe kuanzisha uzi kwa ajili ya mwanajf lazima umpim??

yeah kwa mtazamo wangu mimi afu inategemea na maudhui ya uzi wenyewe kama naanzisha kwa ajili ya kusifia Samboko na busara zake haina haja
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom