Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

salamu kwenu wakuu!!!!!

kwanza kabisa mimi ni mpenzi mkubwa wa majogoo wa jiji, LIVERPOOL FC na niliipenda zaidi wakati nipo A-LEVEL kuleeee Tanga kunani, na niliipenda kwa sababu JOHN BAINS akifuatiwa na ABUU BAKARI TITI KAMARA hawa watu ndio walionipelekea kuipenda LIVER,

Tuhamie kenye point, mm nilikua ni m2 siasa na habari mchanganyiko huko ndio yalikua makazi yangu lakini kwa sasa naipenda MMU na imenikaa kwnye damu, naipenda kwa sababu kuna watu walionifanya nihame kutoka kule kuja MMU, napenda kuwatambua kwa majina Evelyn salt, Heaven on Earth, miss chagga , miss neddy hawa watu wameniamisha na kuja MMU lakini cha kushangaza kuna huyu mdada siku zinavyozidi kwenda anazidi kunichanganya kwanza sipendi ME amtaje kwenye post yake, na sipendi ME a-like post zake nashikwa na wivu hata sijui inakuajaje naumia sana miss neddy naumia unapotajwa, nasikia wivu,

from my HEART real i love YOU

Mdedicate basi wimbo wa Massari-Real love
 
Mkuu Tee Bag hebu turudi kule siasani kwenye mambo ya CCM na UKAWA, mi nilikujaga kwa kasi nikapigwa chauso.
 
Last edited by a moderator:
Mke wa mtu ni sumuu...usijarbu chombezaa....
Umeskia Tee bag
 
Mwambie labda atakuelewa, mm n m2 na ctojali anawngap ,neddy nihurumie, wanitesa

afu ujue kuanzisha uzi bila kuwasiliana na muhusika sio vizuri sijapenda kabisa umeniharibia siku yangu afu unazidi kunichefua
 
olewa wewe basi mi staki michepuko
Namuunga mkono mdada mwenzio aliekuuliza kwa jamaa sio mtu ni jiwe.

Mtoto wa mwanamke mwenzio ujue alafu kaongea kwa hisia fanya kama bahati mbaya chepuka tu utakuja kumuua kwa msongo wa mawazo mweeee...!
 
Back
Top Bottom