Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,626
salamu kwenu wakuu!!!!!

kwanza kabisa mimi ni mpenzi mkubwa wa majogoo wa jiji, LIVERPOOL FC na niliipenda zaidi wakati nipo A-LEVEL kuleeee Tanga kunani, na niliipenda kwa sababu JOHN BAINS akifuatiwa na ABUU BAKARI TITI KAMARA hawa watu ndio walionipelekea kuipenda LIVER,

Tuhamie kenye point, mm nilikua ni m2 siasa na habari mchanganyiko huko ndio yalikua makazi yangu lakini kwa sasa naipenda MMU na imenikaa kwnye damu, naipenda kwa sababu kuna watu walionifanya nihame kutoka kule kuja MMU, napenda kuwatambua kwa majina Evelyn salt, Heaven on Earth, miss chagga , miss neddy hawa watu wameniamisha na kuja MMU lakini cha kushangaza kuna huyu mdada siku zinavyozidi kwenda anazidi kunichanganya kwanza sipendi ME amtaje kwenye post yake, na sipendi ME a-like post zake nashikwa na wivu hata sijui inakuajaje naumia sana miss neddy naumia unapotajwa, nasikia wivu,

from my HEART real i love YOU
 
Naona kijana umeamua kuingia anga za michepuko yangu....kuwa makini utaishia pabaya
 
Skelewu aah skelewu sie le le le wiiiiiii.....

Love z a bful thing so don get it twisted.....
miss neddy my honey... Wifi yako lara1 amenifikishia ujumbe wako...

Nmekubali ombi lako as am single n free....
 
Last edited by a moderator:
Acha ukabila mwana Anfield mwenzangu, umewapenda kwa kuwa wote hao ni wachaga au?

Leo Joachim Laew amepanga wachezaji Saba wa Bayern kwa Ujerumani dhidi ya Algeria....
 
Acha ukabila mwana Anfield mwenzangu, umewapenda kwa kuwa wote hao ni wachaga au?

Leo Joachim Laew amepanga wachezaji Saba wa Bayern kwa Ujerumani dhidi ya Algeria....

huyu mdada amenikamata nyota, ananitesa sana
 
ahsante kwa kunipenda ila hapo hupendi me wa like post zangu hapajakaa sawa mimi nina mume wangu humu ujue utamuoneaje wivu mke wa mtu Tee Bag

Penzi la wizi. Hilooooo tamu hatariiiiiii
 
Last edited by a moderator:
Skelewu aah skelewu sie le le le wiiiiiii.....

Love z a bful thing so don get it twisted.....
miss neddy my honey... Wifi yako lara1 amenifikishia ujumbe wako...

Nmekubali ombi lako as am single n free....

ujumbe gani ustake kuniambia lara 1 ameanza kunipiga bei kimya kimya
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom