Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Namuunga mkono mdada mwenzio aliekuuliza kwa jamaa sio mtu ni jiwe.

Mtoto wa mwanamke mwenzio ujue alafu kaongea kwa hisia fanya kama bahati mbaya chepuka tu utakuja kumuua kwa msongo wa mawazo mweeee...!
He he he jf stress free zone ukiichukulia serious utavurugika bureee hapa story tu
sijamaanisha chochote wala, walio serious hawatongozagi hivo ujue
 
ahsante kwa kunipenda ila hapo hupendi me wa like post zangu hapajakaa sawa mimi nina mume wangu humu ujue utamuoneaje wivu mk
e wa mtu Tee
Bag
weka wazi mume wako humu ni nani?funguka kama wenzio lara1 na matola na mom Fay na Arovera
 
Last edited by a moderator:
He he he jf stress free zone ukiichukulia serious utavurugika bureee hapa story tu
sijamaanisha chochote wala, walio serious hawatongozagi hivo
ujue
tehe tehe umemaliza,lakini hata hivyo Mchambuzi huru alishaweka humu uzi wa namna ya kutongoza hapa JF hii njia iliyotumika hapa haimo.
 
He he he jf stress free zone ukiichukulia serious utavurugika bureee hapa story tu
sijamaanisha chochote wala, walio serious hawatongozagi hivo ujue

Si kasema atakupa zawadi ukimsaidia?nendeni basi chemba mpe tekniki za kujibebisha aanze upya haaaahaaa mara karudi anaomba namba ya simu.
JF niache nlale mie niwahi alfajiri kuvizia daku la jirani maana mi ndio namuamsha kwa vile simu yangu ndio yenye alarm mweeeee asante teckno yangu kwa ajira hii.
 
tehe tehe umemaliza,lakini hata hivyo Mchambuzi huru alishaweka humu uzi wa namna ya kutongoza hapa JF hii njia iliyotumika hapa haimo.

Hizi huwa ni chai tu wazee wa serious mitongozo huwa wanafanya yao kwa pm
hawa wengine ni wajaza server tu
 
Si kasema atakupa zawadi ukimsaidia?nendeni basi chemba mpe tekniki za kujibebisha aanze upya haaaahaaa mara karudi anaomba namba ya simu.
JF niache nlale mie niwahi alfajiri kuvizia daku la jirani maana mi ndio namuamsha kwa vile simu yangu ndio yenye alarm mweeeee asante teckno yangu kwa ajira hii.
Akuuuuu mwenyewe naingia kwa jirani sahivi nazuga na story story hapo muda ya daku nakula narudi kulala
keyboard itamsaidia kutongoza....
 
Akuuuuu mwenyewe naingia kwa jirani sahivi nazuga na story story hapo muda ya daku nakula narudi kulala
keyboard itamsaidia kutongoza....

Huyo jirani yako hajui raha ya daku,ni ivi daku ulale mpaka mida ya ki-10 ivi alarm inaingia mzigoni ile taa inawashwa wali wa iriki na rosti ya kuku ile paleeeee baada ya hapo yeye anaenda ibadani wewe unarudi kwenye blanket una-disturb hali ya hewa uku shingo umeitoa nje ya blanket,aaaghhhhrrr wa wapi huyo...?
 
afu ujue kuanzisha uzi bila kuwasiliana na muhusika sio vizuri sijapenda kabisa umeniharibia siku yangu afu unazidi kunichefua

Hahahahaaaa haya maisha kweli hayapo fair!! Yani mtu mzima kajipinda na confidence zote za kumu impress bibie kumbe ndio kaboa

Halafu Kumbe hairuhusiwi kumwaga sera hadhari kabla ya kuelewana na muhusika!! Duh! Formula ya mtongozo ya JF!! MCHUNGUZI HURU ongezea hiyo kwenye ile research yako ya jinsi ya kutongoz JF
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tee Bag we piga punyero tu huyo mke wa mtu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom