Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,047
maumivu ya mapenzi sijui hupozwa na nn????
Kwa kupata mwingine
maumivu ya mapenzi sijui hupozwa na nn????
Kwa kupata mwingine
hivyo, hata mimi naumia mtu akinitaja....
Kwani miss neddy ulitaka akwambie halafu mpange tamthilia?afu ujue kuanzisha uzi bila kuwasiliana na muhusika sio vizuri sijapenda kabisa umeniharibia siku yangu afu unazidi kunichefua
nlitaka nishangae usitie neno,unataka a fall in love na nani,mchagulie bas maana ndo kazi zako
miss chagga tu hapa over
Ahsante kwa kuja ....!!!!1ahsante kwa kunipenda ila hapo hupendi me wa like post zangu hapajakaa sawa mimi nina mume wangu humu ujue utamuoneaje wivu mke wa mtu Tee Bag
Kwani miss neddy ulitaka akwambie halafu mpange tamthilia?#
Mwambie huyo
weka wazi mume wako humu ni nani?funguka kama wenzio lara1 na matola na mom Fay na Arovera.,@ Kumbe kuna mamis walioolew
Mke wa mtu ni sumuu...usijarbu chombezaa....
Umeskia Tee bag