Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

heheheheeee mara ile taswira unayoivuta jinsi alivyo unakutananae olaaa sivyo...Utakimbia au utabakia na kuendelea kumpenda hivyo hivyo?

salamu kwenu wakuu!!!!!

kwanza kabisa mimi ni mpenzi mkubwa wa majogoo wa jiji, LIVERPOOL FC na niliipenda zaidi wakati nipo A-LEVEL kuleeee Tanga kunani, na niliipenda kwa sababu JOHN BAINS akifuatiwa na ABUU BAKARI TITI KAMARA hawa watu ndio walionipelekea kuipenda LIVER,

Tuhamie kenye point, mm nilikua ni m2 siasa na habari mchanganyiko huko ndio yalikua makazi yangu lakini kwa sasa naipenda MMU na imenikaa kwnye damu, naipenda kwa sababu kuna watu walionifanya nihame kutoka kule kuja MMU, napenda kuwatambua kwa majina Evelyn salt, Heaven on Earth, miss chagga , miss neddy hawa watu wameniamisha na kuja MMU lakini cha kushangaza kuna huyu mdada siku zinavyozidi kwenda anazidi kunichanganya kwanza sipendi ME amtaje kwenye post yake, na sipendi ME a-like post zake nashikwa na wivu hata sijui inakuajaje naumia sana miss neddy naumia unapotajwa, nasikia wivu,

from my HEART real i love YOU
 
ahsante kwa kunipenda ila hapo hupendi me wa like post zangu hapajakaa sawa mimi nina mume wangu humu ujue utamuoneaje wivu mke wa mtu Tee Bag

We jishaue tu! Mashaxizo anampango wa kukudoea! tena utulize akili yako Mashaxizo hakataliwi! kwani hana dhambi na ukimkataa umempa dhambi. Huyo mmeo namliaga timing nimmwagie tindi kali ili mchezo uwe mfupi.

Do you understand?
 
Last edited by a moderator:
salamu kwenu wakuu!!!!!

kwanza kabisa mimi ni mpenzi mkubwa wa majogoo wa jiji, LIVERPOOL FC na niliipenda zaidi wakati nipo A-LEVEL kuleeee Tanga kunani, na niliipenda kwa sababu JOHN BAINS akifuatiwa na ABUU BAKARI TITI KAMARA hawa watu ndio walionipelekea kuipenda LIVER,

Tuhamie kenye point, mm nilikua ni m2 siasa na habari mchanganyiko huko ndio yalikua makazi yangu lakini kwa sasa naipenda MMU na imenikaa kwnye damu, naipenda kwa sababu kuna watu walionifanya nihame kutoka kule kuja MMU, napenda kuwatambua kwa majina Evelyn salt, Heaven on Earth, miss chagga , miss neddy hawa watu wameniamisha na kuja MMU lakini cha kushangaza kuna huyu mdada siku zinavyozidi kwenda anazidi kunichanganya kwanza sipendi ME amtaje kwenye post yake, na sipendi ME a-like post zake nashikwa na wivu hata sijui inakuajaje naumia sana miss neddy naumia unapotajwa, nasikia wivu,

from my HEART real i love YOU

Hizi ni thread za wakoswa kazi.
 
Nakweli ataliwa kiboga kama si kutolewa kafara saa 7 jua la utosi khaaaa!?

We utaanzaje kumpenda usomjua itakua kapenda jina.
Unahela?
 
Back
Top Bottom