Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Mdada huyu anapotajwa naumia jamani

Tatzo sio comment wala thread zake, kuna ka'picha ka miss neddy kaliwekwa kwenye jukwaa fulan, we sema ulivutiwa nako!
 
Tatzo sio comment wala thread zake, kuna ka'picha ka miss neddy kaliwekwa kwenye jukwaa fulan, we sema ulivutiwa nako!

Sio kweli mkuu, huo uzi unaosema mm ndio niliuweka utafute, Evelyn salt Vs Heaven on Earth &miss neddy Vs miss chagga, na ckuweka picha zao, kuna member ndio aliweka hiyo picha lakin mm nilisha mtolea macho ndio nikaweka ule uzi
 
yeah kwa mtazamo wangu mimi afu inategemea na maudhui ya uzi wenyewe kama naanzisha kwa ajili ya kusifia Samboko na busara zake haina haja

Kwa hy kijana alitakiwa aje pm aombe kutongoza apewe ruhusa ndio aanze makeke sio!!!
 
Last edited by a moderator:
Acha ukabila mwana Anfield mwenzangu, umewapenda kwa kuwa wote hao ni wachaga au?

Leo Joachim Laew amepanga wachezaji Saba wa Bayern kwa Ujerumani dhidi ya Algeria....

Mkuu Kimilidzo huyu dogo Guyle anakutenda kwa Mara nyengine tena tafuta kocha mkuu
 
Last edited by a moderator:
salamu kwenu wakuu!!!!!

kwanza kabisa mimi ni mpenzi mkubwa wa majogoo wa jiji, LIVERPOOL FC na niliipenda zaidi wakati nipo A-LEVEL kuleeee Tanga kunani, na niliipenda kwa sababu JOHN BAINS akifuatiwa na ABUU BAKARI TITI KAMARA hawa watu ndio walionipelekea kuipenda LIVER,

Tuhamie kenye point, mm nilikua ni m2 siasa na habari mchanganyiko huko ndio yalikua makazi yangu lakini kwa sasa naipenda MMU na imenikaa kwnye damu, naipenda kwa sababu kuna watu walionifanya nihame kutoka kule kuja MMU, napenda kuwatambua kwa majina Evelyn salt, Heaven on Earth, miss chagga , miss neddy hawa watu wameniamisha na kuja MMU lakini cha kushangaza kuna huyu mdada siku zinavyozidi kwenda anazidi kunichanganya kwanza sipendi ME amtaje kwenye post yake, na sipendi ME a-like post zake nashikwa na wivu hata sijui inakuajaje naumia sana miss neddy naumia unapotajwa, nasikia wivu,

from my HEART real i love YOU

Kwa taarifa yako ni dume la mbegu shauriyako
 
Hivi mkuu @tea bag ukikuta miss neddy ana gongeo si ndio ata kugonga tigo wewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom