Mchungaji wangu ni heri utubu kwani uliyonifanyia yatakupeleka motoni.

Amejuaje ni dk wa kikatoliki hahah

Au kwa kuwa anafanya kazi kwenye hosp ya kikatoliki..

Huu uzi una walakini, kuna kitu kinaoneshwa hapa

Unampaje mchungaji vipimo kabla ya wewe na mwenzio kujijua.. Huu ni uboya..
Nilichoona hapo ni;
1.daktari wa kikatoliki
2.daktari wa kikatoliki
3.daktari wa kikatoliki
.......
........
Blah,blah bin blahs!
Udaktari wake na ukatoliki vinahusianaje katika hii chai yenye vitunguu swaumu na kupigwa changa la macho na huyo kibhurusi wako wa kike?

Sent by anonymous user
 
Kwa hiyo mchungaji wangu akishirikiana na dokta wa kikatoliki walinifanyia hujma ya kunisingizia nina UKIMWI ili tu kunitenganisha na mchumba wangu ili tu mtoto wa mchungaji aweze kumuoa mchumba wangu huyo.

Hii kitu imenisikitisha sana na nimeamini wachungaji wengi ni feki sana na ni watenda dhambi wakubwa sana.
Nadhani wamefanya sahihi kumuepushia huyo binti kuolewa na mtu hovyo kama wewe. Si tabia ya kiume sana kwa mtu aliyefikia unri wa kuoa kuwa mwenye kupapatuka kama kigori sababu tu umekosa ulichotaka. DOKTA WA KIKATOLIKI umemtambuaje? Uliambiwa wanaofanya kazi kwenye hospitali za dini fulani na wao ni lazima wawe wa dini hiyo?

Nenda katafute kitimoto roast akili ikukae sawa
 
Kwahiyo tukusaidiaje mkuu?
Kama wiki tatu zilizopita niliandika Uzi ululioelezea namna nilivyopata mchumba wangu kwenye kanisa moja la kisabato na jinsi mchungaji alivyotuandikia barua ili tukampe daktari ili tupime UKIMWI kama maandalizi ya ndoa yetu mimi na huyo mchumba wangu.

Pia nilieleza zaidi kuwa baada ya kupima katika hospital moja inayomilikiwa kanisa la kikatoliki na baadaye tukapewa bahasha yenye majibu ili tukampe mchungaji kwa sharti la kutokuifungua.

Nafikili mnakumbuka kuwa baada ya kumpa mchungaji bahasha ile aliomba wazazi wetu waje na akawaambia eti Mimi nimeathirika na mwenzangu mzima hivyo ndoa hakuna.

KUMBE UKWELI NI KWAMBA:
Mchungaji wangu alinifanyia hujma ili nisiweze kufunga ndoa na binti yule kwa kile kinachoaminika kwamba mchumba wangu yule alikuwa na mahusiano na mtoto wa huyo mchungaji wa kisabato kwa muda mrefu bila mimi kujua.

Na jumamosi iliyopita ndoa yao imetangazwa kanisani huku na mimi nikishuhudia hadharani, imeniuma sana.

Kwa hiyo mchungaji wangu akishirikiana na dokta wa kikatoliki walinifanyia hujma ya kunisingizia nina UKIMWI ili tu kunitenganisha na mchumba wangu ili tu mtoto wa mchungaji aweze kumuoa mchumba wangu huyo.

Hii kitu imenisikitisha sana na nimeamini wachungaji wengi ni feki sana na ni watenda dhambi wakubwa sana.

Baba wa aliyekuwa mchumba wangu amenisimulia kila kitu kilichokuwa kimepangwa na mchungaji huyo. Ni dhambi sana.

Ni bora utubu tu mchungaji umetenda dhambi sana.

Sent by Diaspora
 
Wahi mahakamani ukadai fidia... Vile vile soma mada hii ya kulipa kisasi inaweza kukusaidia

Jr

Nina swali moja...... Kwa nini mlikwenda kupima sehemu ambayo mmeelekezwa? Nilitegemea kuwa muamue wenyewe mnapokwenda kupima hivyo vipimo. Kama unauhakika wa majibu yako kubadilishwa..... Kwa nini hukumshawishi mpenzi wako mkapime sehemu nyingine?
 
Hayo mazingira hujengwa mapema na huwezi kushtuka mpaka litokee la kutokea

Jr
 
Kama wiki tatu zilizopita niliandika Uzi ululioelezea namna nilivyopata mchumba wangu kwenye kanisa moja la kisabato na jinsi mchungaji alivyotuandikia barua ili tukampe daktari ili tupime UKIMWI kama maandalizi ya ndoa yetu mimi na huyo mchumba wangu.

Pia nilieleza zaidi kuwa baada ya kupima katika hospital moja inayomilikiwa kanisa la kikatoliki na baadaye tukapewa bahasha yenye majibu ili tukampe mchungaji kwa sharti la kutokuifungua.

Nafikili mnakumbuka kuwa baada ya kumpa mchungaji bahasha ile aliomba wazazi wetu waje na akawaambia eti Mimi nimeathirika na mwenzangu mzima hivyo ndoa hakuna.

KUMBE UKWELI NI KWAMBA:
Mchungaji wangu alinifanyia hujma ili nisiweze kufunga ndoa na binti yule kwa kile kinachoaminika kwamba mchumba wangu yule alikuwa na mahusiano na mtoto wa huyo mchungaji wa kisabato kwa muda mrefu bila mimi kujua.

Na jumamosi iliyopita ndoa yao imetangazwa kanisani huku na mimi nikishuhudia hadharani, imeniuma sana.

Kwa hiyo mchungaji wangu akishirikiana na dokta wa kikatoliki walinifanyia hujma ya kunisingizia nina UKIMWI ili tu kunitenganisha na mchumba wangu ili tu mtoto wa mchungaji aweze kumuoa mchumba wangu huyo.

Hii kitu imenisikitisha sana na nimeamini wachungaji wengi ni feki sana na ni watenda dhambi wakubwa sana.

Baba wa aliyekuwa mchumba wangu amenisimulia kila kitu kilichokuwa kimepangwa na mchungaji huyo. Ni dhambi sana.

Ni bora utubu tu mchungaji umetenda dhambi sana.

Nakupa pole ila pia naanza kupata picha kwamba wewe pia una matatizo ya uelewa; uwezo wako wa kuchanganua mambo ni mdogo au uko biased. Kwa namna ulivyoielezea issue yako hapa, nilitarajia ungeweza kuwa umefikia sasa hatua ya ku-rule out kwamba mwenye matatizo ni yule mchumba wako kwa sababu inaonyesha hakupendi ila hataki kuwa wazi na bado anakuwa na nia ya kukukomoa kwa kukuumiza zaidi. Hawa wengine unaowaelekezea tuhuma ni watu wanaotumiwa tu, japo nao wanaonyesha hekima yao ina mgogoro kiasi kwa sababu mtu kama mchungaji huwezi ukakubali kutumika katika namna ambayo si ya kiroho kama inavyoonekana hapa. Mwenye matatizo ni uliyetaka awe mchumba wako, hawa wengine wanatumika tu na kwa uelewa wangu nisingekushauri uwaelekezee lawama zozote zile. Mwanamke uliyempenda ndiyo nyoka halisi!
 
Kama wiki tatu zilizopita niliandika Uzi ululioelezea namna nilivyopata mchumba wangu kwenye kanisa moja la kisabato na jinsi mchungaji alivyotuandikia barua ili tukampe daktari ili tupime UKIMWI kama maandalizi ya ndoa yetu mimi na huyo mchumba wangu.

Pia nilieleza zaidi kuwa baada ya kupima katika hospital moja inayomilikiwa kanisa la kikatoliki na baadaye tukapewa bahasha yenye majibu ili tukampe mchungaji kwa sharti la kutokuifungua.

Nafikili mnakumbuka kuwa baada ya kumpa mchungaji bahasha ile aliomba wazazi wetu waje na akawaambia eti Mimi nimeathirika na mwenzangu mzima hivyo ndoa hakuna.

KUMBE UKWELI NI KWAMBA:
Mchungaji wangu alinifanyia hujma ili nisiweze kufunga ndoa na binti yule kwa kile kinachoaminika kwamba mchumba wangu yule alikuwa na mahusiano na mtoto wa huyo mchungaji wa kisabato kwa muda mrefu bila mimi kujua.

Na jumamosi iliyopita ndoa yao imetangazwa kanisani huku na mimi nikishuhudia hadharani, imeniuma sana.

Kwa hiyo mchungaji wangu akishirikiana na dokta wa kikatoliki walinifanyia hujma ya kunisingizia nina UKIMWI ili tu kunitenganisha na mchumba wangu ili tu mtoto wa mchungaji aweze kumuoa mchumba wangu huyo.

Hii kitu imenisikitisha sana na nimeamini wachungaji wengi ni feki sana na ni watenda dhambi wakubwa sana.

Baba wa aliyekuwa mchumba wangu amenisimulia kila kitu kilichokuwa kimepangwa na mchungaji huyo. Ni dhambi sana.

Ni bora utubu tu mchungaji umetenda dhambi sana.
Pole mkuu.
 
Pole sana nimesiktika sana na habari hii Mungu atakupatia hitaji la moyo lako,
 
yaani upime ukimwi,umpelekee mchungaji ndo akafungue bahasha?,mbona vitu bila kutumia common sense?
 
sio kila dr anaetibu kwenye hospital za wakatoriki ni mkatoriki acha kukalili..afu siku nyingine uache uzwazawa unapewa bahasha ya majibu yako ya ukimwi na wewe unaipeleka hivyohivyo bila kujua kilichomo??

Samahani naomba kuuliza swali la kipuuzi kidogo, hivi Mkatoliki ni nani? Je Mkatoliki anakuwa lini mkisto?
Ahsante
 
Back
Top Bottom