Omba ushirikiano toka kwa wazazi wako na wa pande mbili then nenda mahakamani kamfungulie mashtaka ya udhalilishaji maana kiukweli kakudhalilisha, uzuri ni kuwa kwa kuwa matokeo ya uchunguzi yapo, unaweza tumia hayo na pia kwenda mahakamani kudai fidia hata ya mamilion ya fedha na ukalipwa.
Nakumbuka suala lako liliwahi kumtokea dada 1 na hospital moja ya wahindi hapa town, ikaja julikana kuwa walichanganya damu kwenye vipimo na kumpa mdada majibu ambayo si yake, alilipwa 50 milion
Pia hata hyo hospital inaweza kuwa kwenye matatizo na kufungiwa. Mbona hyo ni kesi nzuri bro?
Ila kwa nini huyo mke wako mtarajiwa nae aweze kukubali kuolewa na mtu mwingine fasta hvyo? Au alikuwa hakupendi?
Demu wa namna hyo ni kumdanganya aje kwako kuongea na hasa hasa siku chache zile za hatari then unampa mimba. Akienda kuitoa unamshtaki, aone aibu ya mwaka na unamtoa kwenye gazeti
Sent using
Jamii Forums mobile app